Hivi mwanamke akimtongoza mwanaume anakuwa kapenda kweli au wa kumsaidia majukumu?

Kaka unajua nini mimi mara ya kwanza wakati demu anani aproach nilijua utaani tuu,

Baada ya siku kadhaa alikomaa hadi nikajikuta naingia kwenye kumi nane za demuuu,

Mbaya zaidi nilijipa moyo hili litakuwa ni zali la mentalii kumbe sio



Haaa haaa Haaa haaa Haaa teeeh teeeh teeeh teeeh.
Umenikumbusha hii songingo ya Masela wa hapo Bongoland, ubongo wa flava.

"Aliyeuza cheni alipewa noti bandia' na aliyetoa noti alipewa cheni bandia"

Wanamalizia , kwa usemi "ngoma draw"
 
Hahaaaa....kweli nimekubali wewe ni mjanja!

Maana nilidhani hata hungejua ni wimbo wa nani lakini umepatia.

Ni O.T. Genasis......

Nimezipokea hizo xoxo kwa mikono kichwa na miguu.

Kichwa!?

"Kichwa cha juu' au kichwa cha chini!? "

curiosity mind.
 
sasa ulitegemea akupende bila malipo.. wapi tumeambiwa wanawake tupende wanawakee.. tunajukumu moja tu la kuheshimu , kupenda ni maslahi tu pole
 
Demu akikutongoza basi kunakitu anataka kutoka kwako wachache sana wanao penda
 
KWANI WEWE KILA UNAEMTONGOZA UNAMPENDA KWELI AU UNATAKA KUMGEGEDA TU, JIFUNZE KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI SIKUKUU HII
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom