The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,279
Safi Sana , mabeberu oyeeAnatoa misaada kwa kibali kabisa kuna shule imemwagiwa kompyuta 70,vitbu kibao,kajenga matundu 10 ya vyoo
Safi Sana , mabeberu oyeeAnatoa misaada kwa kibali kabisa kuna shule imemwagiwa kompyuta 70,vitbu kibao,kajenga matundu 10 ya vyoo
S
Aweke chanzo cha habari yake
Chanzo cha habari wakati niko hapa kila siku wanatangaza ajira
Unge Google tu ukajua wanakula ngapi
Tatizo sisi kila kitu kinafichwa wakati huku kila kazi unaiona na unaweza kuona wanalipa ngapi kabla hata hujaomba
Na hakuna kitu cha kuficha huku
Tuna Freedom of information Act pia ya kujua kila kitu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hebu tuweke hayo marupurupu wanayopewa hao wanajeshi wa US,na sisi tuangalie field nyingine wanalipwaje hayo marupurupu.
Lkn kwa US mwanajeshi ni wa kawaida sana tu kwny suala la kipato,hayupo wala kwny top earners.
dodge
Na anayebisha aweke pia data zake hapa.
dodge
Wakuu mliotembea na kuyajua mambo mbali mbali hasa ya kijeshi nijulisheni,,,maana kuna mjeshi mmoja toka marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini!!!! Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada??? Vp mwanajeshi wetu tz wana uwezo huo pia???? Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja was shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu,,nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa,,,
Mwanajeshi marekani lazima kichwani awe Safi
Bongo private anawaza kumpigisha kichurachura Raia alikatiza eneo la jeshi badala ya kumpa elimu kwamba harusiwi yeye ndio anaona kapata mwanasesere wa kumfurahishs na kichura kichura
Marekani wanajeshi wanapendwa sana na Raia alikatiza tu kitaa na kombati yake Kila mtu anamwambia "thank u for your service"
Mjeda wa bongo akakikatiza kitaa Raia washaanza kununa
Ifike mahalo jeshi letu pia lijikite kujenga mahusiano mazuri na Raia wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipokuomba kutumia akili ungezingatia. Tatizo kupata ushauri hautaki, ungefanikiwa sanaMbona unapaniki wakati tunazungumza tu kuhusu hawa ndugu zetu hali zao kiuchumi zinaendana na kazi ngumu wanazofanya ???wanaitwa mbwa wa wanasiasa japo huwa sipendi kusikia hivo
Uko sahihi kabisa!Jeshi la Marekani Ni chombo Cha kiuchumi.cha ulinzi wa biashara za Marekani popote Duniani
Ujinga mzigo, kaulize huu upuuzi Mogadishu.Wakuu mliotembea na kuyajua mambo mbali mbali hasa ya kijeshi nijulisheni,,,maana kuna mjeshi mmoja toka marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini!!!! Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada??? Vp mwanajeshi wetu tz wana uwezo huo pia???? Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja was shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu,,nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa,,,
Jeshi letu niseme wazi hatujakitumia vizuri .Marekani wanalipwa vizuri sababu jeshi hutumika kuvamia nchinkiuchumi ili wapore Mali ziende Marekani.
Mfano majeshi yetu yalienda kupigana nchi zote za kusini mwa Afrika jeshimlingevamia migodi ya almasi na dhahabu Afrika kusini,Zimbabwe,Namibia,no na visima vya mafuta Angola na kuvamia Kongo kupora raslimali kule na kuzileta Tanzania ,Tanzania ingekuwa nchi tajiri kuikaribia Marekani.
Tatizo jeshi letu halitumiki kupora Kama la Marekani wanapigana tu Kama wehu hawakwapui
Wakuu mliotembea na kuyajua mambo mbali mbali hasa ya kijeshi nijulisheni,,,maana kuna mjeshi mmoja toka marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini!!!! Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada??? Vp mwanajeshi wetu tz wana uwezo huo pia???? Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja was shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu,,nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa,,,
Hahahahahahahaha usilolijua mkuu, nikuache hivyo hivyo hii mitandao tuSio kweli mkuu, hapa nyumbani wanajeshi wanaheshima kubwa tu na mishahara yao ni mizuri.
Ikumbukwe tu kuwa kila Taifa linajikuna kutokana na uwezo wa rasilimali zake. Hatuwezi fanana wote. Ila kwa viwango vya hapa nyumbani, wanajeshi wetu wanalipwa vizuri.
Usiongee bila kufikiria kumbuka mfano hapa ni Marekani na Tanzania wanafananishwa sio mwanajeshi na mwalimu jaribu kuelewa swali. Wanathaminiwa ndio kulinganisha na mwalimu ila mleta mada amelinganisha na mwanajeshi wa Marekani. Unafeli sio hujui ila haujaelewa swaliMkuu, una uhakika mwanajeshi wa tanzania hathaminiwi na serikali? Vitu vingine kama ni vikubwa zaidi ya akili yako basi waazime akili hata jamaa wa bodaboda wakusaidie kufikiri..
Sio kupayuka tu..
Hahahahah ww umeelewa swali na jibu lako limepita penyewe. Shida ni kwamba kwetu wanajeshi ni wale waliofeli, na sababu ni mbumbumbu wanatumika kubeba korosho na kujenga jenga shule, nyumba za walimu, madaraja kwa bei nafuuuuu kabisa. Zile mishe za akili kubwa hatuwezi, hakuna ma IT wale konki wakudukua taarifa za nchi moja na nyingine ili tupambane kiuchumi nk, badala yake wakina kabudi na wenzake wa jalalani ndo wanapiga kelele bila ujuzi wowote.Jeshi letu niseme wazi hatujakitumia vizuri .Marekani wanalipwa vizuri sababu jeshi hutumika kuvamia nchinkiuchumi ili wapore Mali ziende Marekani.