Hivi mwanajeshi wa Marekani ana hadhi sawa na mwanajeshi wa Tanzania? Kuanzia kipato/ mshahara, mafunzo?

Si kweli wanajeshi wa US wanalipwa salary ya kawaida kabisaaa kulinganisha na field nyingine huko US,tena wako chini kabisa kulinganisha na field nyingine kama Accountants,Lawyers,Salesman,Doctors,IT etc

An entry-level Army private analipwa $20,172 kwa mwaka.

Top Air Force generals analipwa $189,600 kwa mwaka.

dodge

Hilo halina mjadala mishahara sio mikubwa hivyo tena nimelinganisha na UK waingereza wanawaacha mbali sana kwa mishahara
Hata mimi nawazidi mshahara
Baadhi yao wa USA
Adjustments.jpg

Na hawa ni UK ila kwetu sijui wanakula ngapi
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Na wa bongo vp mkuu
 
Na wa Bongo vp mkuu
 
Hilo halina mjadala mishahara sio mikubwa hivyo tena nimelinganisha na UK waingereza wanawaacha mbali sana kwa mishahara
Hata mimi nawazidi mshahara
Baadhi yao wa USA
View attachment 1352455
Na hawa ni UK ila kwetu sijui wanakula ngapi
View attachment 1352456

Sent from my iPhone using Tapatalk

Thnxs kwa kuweka data kabisa mkuu.

Daah UK wamewapiga gap balaa wenzao wa US.

Kwa US mwanajeshi ni wa kawaida saaaana kwny suala la kipato.

dodge
 
Si kweli wanajeshi wa US wanalipwa salary ya kawaida kabisaaa kulinganisha na field nyingine huko US,tena wako chini kabisa kulinganisha na field nyingine kama Accountants,Lawyers,Salesman,Doctors,IT etc

An entry-level Army private analipwa $20,172 kwa mwaka.

Top Air Force generals analipwa $189,600 kwa mwaka.

dodge
We fala unasema wanajeshi wa US wanalipwa 40M kwa mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamarekani wanajielewa.. hii kuweka wazi mshahara wala si kigezo kuwa ndio pesa halisi wanayolipwa!

Na wana marupu rupu ...ya uhakika wa maisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuweke hayo marupurupu wanayopewa hao wanajeshi wa US,na sisi tuangalie field nyingine wanalipwaje hayo marupurupu.

Lkn kwa US mwanajeshi ni wa kawaida sana tu kwny suala la kipato,hayupo wala kwny top earners.

dodge
 
Hapa Tanganyika, jeshi linatumika kama nyenzo ya kisiasa (Political Apparatus).

If any, kama kuna marupurupu na mishahara mikubwa wanapata, ni kwa ajili ya kuwapa motisha ya kuwa watiifu kwa wanasiasa.

Hakuna nia njema iliyopo nyuma ya marupurupu wanayopewa.

Lakini bado sifikirii kwamba mishahara yao inalingana na wanajeshi wa Marekani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanajeshi wa Us hata asipolipwa mshahara sasa tu maana serikali imemhakikishia maisha hana msongo wa kimaisha kama hawa wetu
Na ni field inayoongoza kwa kusumbuliwa na Post-traumatic stress disorder (PTSD).

'A study of military personnel, almost 25% of 5500 Army soldiers were diagnosed with a mental disorder such as depression or PTSD, with PTSD rates being approximately 15 times higher than the general public.'

dodge
 
Thnxs kwa kuweka data kabisa mkuu.

Daah UK wamewapiga gap balaa wenzao wa US.

Kwa US mwanajeshi ni wa kawaida saaaana kwny suala la kipato.

dodge

Pamoja sana Mkuu
Watu wanafikiri USA wanakula hela ndefu yaani Mimi naona UK hata kwa mikakati na tactics za kijeshi wanawaacha mbali sana
Angalia wakiwa pamoja sehemu mbaya zaidi ndio wanapewa waingereza kama Helmand province ya Afghan

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom