Hivi Mwanafunzi aliyefaulu vizuri combination ya CBN anaweza kusomea Udaktari?

Kule Kwetu

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,157
1,890
Habarini Wakuu,

Nauliza, endapo mwanafunzi alisoma combination ya Chemistry, Biology na Nutrition (CBN) form 6 na kufaulu vizuri, anaweza kuapply course ya Doctor of Medicine na akachaguliwa?

Msaada tafadhali,
 
Watu mnapenda kukuza sana mambo, watu mnabishia uzoefu. Kwani guide book ya tcu hamzisomi? Na kama hamzisomi acheni kua mnabisha. IMTU, KAIRUKI, ST FRANCIS, AJUCO NA HATA BUGANDO mwaka jana wamechaguliwa na mimi ni miongoni mwao. Nilichaguliwa imtu-CBG
 
shukrani sana mkuu,
 
Chemistry Biology Nutrition (CBN) labda akamrithi Dk. Mwaka au Ndodi.
 
UNASOMA UDAKTARI VIZURI WE OMBA TU UDAKTARI UNAENDANA NA BIOLOGY WITH CHEMISTRY NA ENGENEERING INAENDANA NA PHYSICS WITH MATHEMATICS
 
Food science and Nutrition au Medicine.Udaktari ukosi ajira hila food science and nutrition ukifaulu inalipa pia usisahau ualimu kuchagua CB au BN
 
Udactari ni hadi uwe umesoma physics.. tofaut na hapo haiwezekani.
Huna uhakika mkuu, physics ya A-Level haina application ktk Medicine. Hata matumizi ya vifaa au machines na maintainance zake mwanafunzi anajifunza ktk course husika.
 
anaweza ila kwa vyuo kama Bugando na saint fransis au joseph au archbishop...but muhimbili.udom.kcmc huwezi ingia na CBN
 
Only pcb anaweza kuwa dokta.. Binafsi nilipata principle mbiili nzur kabisa za biology na chemistry ila physcs nilipata S wakanikazia
 
Back
Top Bottom