Hivi mwalimu akisoma kozi hii anapanda cheo kuwa nani?

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
Kwa mwalimu mwenye Diploma ya ualimu akisoma Kozi ya ''public administration and education'' je mwalimu atawekwa upande wa uongozi katika nyanja za elimu, je mhusika ataweza kupata kazi wapi tofauti na mashuleni?
 
Mh mh mh mh mh Perry kama hujui ni bora ukae kimya mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuwa mkuu wa shule,afisa elimu ua sehemu yoyote inaitaji mtu wa kada hiyo.
 
Jukwaa la elimu si sehemu ya madongo Zero zero sven ila ni ufinyu wa fikira tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama yuko serikalini anaweza kufanya kitu kinachoitwa rekategoraizesheni akaingia upande wa utawala,ila inshu kama huna mtu wa kukupa kampani.
 
Back
Top Bottom