MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Mimi binafsi kwa mawazo yangu nilifikiri zaidi angeungana na kina Mzee Majuto kule, ile kazi ingemlipa zaidi kuliko siasa na kama tatizo ni pesa na umaarufu mbona angepata za kutosha maana kina Majuto ni maarufu na pesa pia wanazo?
Haya ni mawazo wangu, kule kwa kina Mzee majuto kuna wasanii wasomi wazuri kama kina Simalenga na Jokate. Ni kazi nzuri sana ile inayohitaji talent na kutumia akili nzuri, hivyo huyu jamaa yangu kule kunamfaa sana sana.
Nayasema nikilenga performance yake kwenye kazi za siasa, matamko ya ajabu yasiyoendana na wakati, yaani mashindwa kelewa kabisa kazi ambayo huyu jamaa anaweza kufanya akapendwa na jamii.