Hivi muajiriwa wa serikali Clinical Officer anaweza akaomba ruhusa kusoma Barchelor of Science in Human Nutrition

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
545
Hivi muajiriwa wa serikali clinical officer anaweza akaomba ruhusa kwenda kusoma akaruhusiwa kusoma barchelor of science in human nutrition au akasoma healthy management system?

Na akimaliza masomo anabadilishwa cheo.?
 
Hivi muajiriwa wa serikalini clinical officer anaweza akaomba ruhusa kwenda kusoma BARCHELOR OF HUMAN NUTRITION au BARCHELOR OF HEALTH SYSTEM MANAGEMENT akaruhusiwa..? na akimaliza kusoma anabadilishiwa majukumu anakua nani..?
 
Kusoma inawezekana ila kubadilishiwa cheo itategemea na mahitaji ya mwajiri
 
Hivi muajiriwa wa serikalini clinical officer anaweza akaomba ruhusa kwenda kusoma BARCHELOR OF HUMAN NUTRITION au BARCHELOR OF HEALTH SYSTEM MANAGEMENT akaruhusiwa..? na akimaliza kusoma anabadilishiwa majukumu anakua nani..?
Inawezekana mkuu!
 
Back
Top Bottom