Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,024
Usanii bongo ni kuwa mtu usiyeeleweka kama kazi yako ni ipi, vyanzo vya mapato nk. Hivyo tu unakuwa msaniiWasanii Wa nini?
Punguza hasira naniii vileeSihitaji fan. Mimi ni fan wa mimi mwenyewe natosha
Hujui hao watu wanaingiza mabilioni kila Siku kupitia Makampuni ya kimataifa kama KLM, Emirates na Heineken?Mimi nashangaa sana, hivi mtu unaanzaje kuwa fan wa mtu kama Hamisa Mobeto au Wema Sepetu?
Watu wenyewe hawajulkani hata wanafanya kazi gani kuendesha maisha yao. Wao kazi yao kubwa ni ku-edit photos mpaka zinapoteza uhalisia na kuziweka Insta.
Sio hawa wawili tu, yaani wale wadada wote wa aina kama ya hawa wawili.
Kuliko kuwa fan wa watu kama hawa si bora uwe fan hata wa fridge, uhifadhi vyakula visiharibike 😂
Wale ni wajasiria mwili hamisa anaimba mziki pia wanajishughulisha na mambo ya urembo wanapata pesa we mtoa mada huna hata ela upo kwenu unalishwa
Mimi sio shabiki wao nimekueleza tu acha dharau
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabillion? Wasingekuwa wanadanga hapa mjinHujui hao watu wanaingiza mabilioni kila Siku kupitia Makampuni ya kimataifa kama KLM, Emirates na Heineken?