Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry?

Jasama

Member
Aug 22, 2021
14
45
Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry hata kwa chuo cha private?
O'level
Physics- D
Chemistry- D
Biology- C
English- C
B/Maths- F

Advance
Geog- "B"
Chemistry- C
Biology- "B"
BAM- F

Na ikitokea kwa mfano chuo kikakutaarifu umechaguliwa kujiunga katika chuo husika ila unakuwa umepungukiwa na sifa moja katika yale masomo yanayohitajika na programu uliyoiomba, maamuzi ya NACTE yanakuwaje juu ya hilo?
 
Emega

Member
Jun 15, 2013
23

Na ikitokea kwa mfano chuo kikakutaarifu umechaguliwa ila unakuta umepungukiaa na sifa moja ya programu uliyoiomba, maamuzi ya NACTE yanakuwaje juu ya hilo?
Kuwa specific, Optometry kwa level gani certificate, diploma au degree ?

Kuhusu hiyo aya ya mwisho huwezi chaguliwa na Chuo halafu ukawa huna minimum qualifications za Nacte. Vyuo vyote wanafuata guidelines za Nacte na TCU.
 
Jasama

Member
Aug 22, 2021
14
45
Kuna dogo kataarifiwa na chuo fulani kuwa kachaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa programu hiyo ya Optometry na taarifa zake zimepelekwa NACTE kwa ajili ya uhakiki. Ila baada ya kufuatilia vizuri kwenye Admission Guide book, hiyo programu ina demand ya Physics, Chemistry, Biology na B/Mathematics lazima kwa cheti cha O'level. Sasa nashindwa kujua hapo inakuwaje, ndiyo maana nikataka kujua how possible kwa watu watakao kuwa na uzoefu wa haya mambo.
 
Mbagala stendi

JF-Expert Member
Nov 8, 2020
215
250

Nacte wanaangalia vigezo vya O level sio vya A level
 
Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
886
1,000
Kuna dogo kataarifiwa na chuo fulani kuwa kachaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa programu hiyo ya Optometry na taarifa zake zimepelekwa NACTE kwa ajili ya uhakiki. Ila baada ya kufuatilia vizuri kwenye Admission Guide book, hiyo programu ina demand ya Physics, Chemistry, Biology na B/Mathematics lazima kwa cheti cha O'level. Sasa nashindwa kujua hapo inakuwaje, ndiyo maana nikataka kujua how possible kwa watu watakao kuwa na uzoefu wa haya mambo.
watampiga hela yake bure huyo dogo. Chuo atasoma na dakika za mwisho hatatambulika kama ni muhitimu. Mwambie akimbie sana hao ni wezi. Na nacte wataanza kutaarifu watu kuanzia tarehe 15/9.
 
Jasama

Member
Aug 22, 2021
14
45
Wao wamemchagua na taarifa zake tayari zimedhibitishwa na NACTE kuwa zimepokewa kwa ajili ya udahili, kwa hiyo kilichobakia ni kusubiri majibu ya NACTE, hata wao wamesema masuala ya kujiunga rasmi hadi uhakiki uishe ndo watapata taarifa zaidi. Inshu ni kwamba inawezekana akawa verified na NACTE huku akiwa kapungukiwa na pass ya Mathematics ambayo kwenye hiyo kozi ni ya lazima licha ya kutumika kama sifa ya ziada kwa kozi karibu zote za afya?
 
kama unalazimisha kupigwa mm sina neno ngoja nikae kimya. Clouds tv juzi walikuwa na kipindi maalumu na mtumishi kutoka NACTE akitoa darasa kuhusu haya maswala kwani wanapokea taarifa nyingi za wananchi kupigwa na wenye vyuo. Tafuta ukajifunze kisha ujikadirie.
 
ph f

Member
Aug 29, 2020
18
45
Wao wamemchagua na taarifa zake tayari zimedhibitishwa na NACTE kuwa zimepokewa kwa ajili ya udahili, kwa hiyo kilichobakia ni kusubiri majibu ya NACTE, hata wao wamesema masuala ya kujiunga rasmi hadi uhakiki uishe ndo watapata taarifa zaidi. Inshu ni kwamba inawezekana akawa verified na NACTE huku akiwa kapungukiwa na pass ya Mathematics ambayo kwenye hiyo kozi ni ya lazima licha ya kutumika kama sifa ya ziada kwa kozi karibu zote za afya?
Km math ni sifa ya ziada na sio ya lazima hapo hmn shida bac.....na course nyng za afya math na English zinakua ni additional requirements. Ukiwa nazo ni vizur lkn pia usipokua nazo hakijaaribika kitu km nafas ipo unapata tu
 
Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
886
1,000
Km math ni sifa ya ziada na sio ya lazima hapo hmn shida bac.....na course nyng za afya math na English zinakua ni additional requirements. Ukiwa nazo ni vizur lkn pia usipokua nazo hakijaaribika kitu km nafas ipo unapata tu
ameshasema ni sifa ya lazima na si ziada mkuu.
 
chaja2

Member
Sep 1, 2021
8
45
Wewe subiri majibu acha kusingizia mtu flani.
Alafu mbona unataka kusoma diploma huku umefaulu vizuri advance level.
Ningekua wewe ninge omba kozi za pale sua zina future za kujiajijiri na kuajiriwa mbeleni.
 
Mosesmoi

Member
Sep 23, 2018
13
45
Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry hata kwa chuo cha private?
O'level
Physics- D
Chemistry- D
Biology- C
English- C
B/Maths- F

Advance
Geog- "B"
Chemistry- C
Biology- "B"
BAM- F

Na ikitokea kwa mfano chuo kikakutaarifu umechaguliwa kujiunga katika chuo husika ila unakuwa umepungukiwa na sifa moja katika yale masomo yanayohitajika na programu uliyoiomba, maamuzi ya NACTE yanakuwaje juu ya hilo?
Achana na optometry mkuu huwezi pata.. hata private pale mvumi hupati...
Naifahamu hii kozi nipo mwaka wa tatu sasa apa kcmc
 
Mosesmoi

Member
Sep 23, 2018
13
45
Kuna dogo kataarifiwa na chuo fulani kuwa kachaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa programu hiyo ya Optometry na taarifa zake zimepelekwa NACTE kwa ajili ya uhakiki. Ila baada ya kufuatilia vizuri kwenye Admission Guide book, hiyo programu ina demand ya Physics, Chemistry, Biology na B/Mathematics lazima kwa cheti cha O'level. Sasa nashindwa kujua hapo inakuwaje, ndiyo maana nikataka kujua how possible kwa watu watakao kuwa na uzoefu wa haya mambo.
Kama ana F ya maths au F ya physics na chuo kikampokea ..system ya nacte itakuja kumtema hapo baadae na mwisho wa siku utalazimika kubadili kozi
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,642
2,000
Kama ana F ya maths au F ya physics na chuo kikampokea ..system ya nacte itakuja kumtema hapo baadae na mwisho wa siku utalazimika kubadili kozi
Mkuu hebu tupe details ya hii kozi kama hutajali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom