Hivi mtu kama ana foundation program ya GPA 4.7 then anaweza chaguliwa UDSM kweli?

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,165
2,000
Usipoteze Muda na UDSM. na Universities. Nenda kwenye Institutes. Yani elimu umeunga unga hivyo, bado unataka UDSM na unajua kunacompetition kubwa na kuna watu Wana Matokeo mazuri.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,581
2,000
THEN form 4 ana div. ya 10 (2015)
.. form six (2018) ana div.3 point 15...... Msaada wakuu .... hapo juuu .
Huwezi kupata usipoteze muda.Wao huchukua Mtu kwa kujumkisha points zote za form four na six hawaangalii form six pekee ukiwa mkali form six form four ukawa ulikuwa chini wanakutema na kukutupa huko.Hawakuchukui.Wanachukua wawakili kichwani kuanzia form four hadi six .Nanda kaombe vyuo vingine sio UDSM ukitaka pitia wali
ochaguliwa uone kuanzia nyuma.Uzuri wao wote wanaowachagua huwapanga kwa kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho kuchagua wakionyesha matokeo yao yote ya form four na six wazi.Wako wawazi sana unajiona wazi kuwa kama wamekukataa vigezo huna ushindani hukuuweza Narudia division three kama mbali na UDSM
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,581
2,000

Kwn UD kn nn kikubwa au kuonekana tu nipo mlimani
UDSM ni chuo cha vipaji maalumu.Nafikiri unajua kuwa kuna shule za vipaji maalumu za serikali kama Mzumbe,iliboru,msalato,kibaha nk Kwa upande wa shule za vipaji maalumu za private ziko kama Marian ,nk.Huko huingia watoto wenye pass za juu mjinga mjinga hakanyagi.

Viko vyuo vikuu vya vipaji maalumu duniani vingine hujiita Triple A universities vikimaanisha Mtu anauejuiunga kwao anatakiwa kuwa na A tatu kwenye mitihani wa kidato cha sita.Vyuo kama Oxford,MIT,Yale nk

Kifupi UDSM ni chuo cha vipaji maalumu hiyo ndio tofauti ya Kwanza
Tofauti ya pili na vyuo vingine ni idadi ya uwingi wa ma Doctors na professors kwa kila kitivo.UDSM inao wengi kwa kila kitivo linganisha na vyuo vingine ujionee mwenyewe utofauti halafu angalia CV zao na CV za hao wa vyuo vingine.Chukua Almanac ya kila chuo ziko online cheki sifa za walimu kwa kila kitivo.UDSM imewatupa mbali.
Tutorial assistant UDSM hafundishi kazi yake kusaidia lecturers kuwafungia projector nk vyuo vingine anafundisha kozi hadi wa mwisho wa mwaka

safari ya kwenda UDSM mtoto anakiwa kusoma kweli kweli kuanzia form four afaulu pass za juu sana na akifika form six hivyo hivyo.
 
alfatv

JF-Expert Member
Jul 3, 2019
361
500
Udsm Kuna watu wana 3.13 na form 4 wana sitting1 yani alirudia mtihan wa form 4 mara 1 unaenda fresh tu
 
Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
968
1,000

UDSM ni chuo cha vipaji maalumu.Nafikiri unajua kuwa kuna shule za vipaji maalumu za serikali kama Mzumbe,iliboru,msalato,kibaha nk Kwa upande wa shule za vipaji maalumu za private ziko kama Marian ,nk.Huko huingia watoto wenye pass za juu mjinga mjinga hakanyagi.

Viko vyuo vikuu vya vipaji maalumu duniani vingine hujiita Triple A universities vikimaanisha Mtu anauejuiunga kwao anatakiwa kuwa na A tatu kwenye mitihani wa kidato cha sita.Vyuo kama Oxford,MIT,Yale nk

Kifupi UDSM ni chuo cha vipaji maalumu hiyo ndio tofauti ya Kwanza
Tofauti ya pili na vyuo vingine ni idadi ya uwingi wa ma Doctors na professors kwa kila kitivo.UDSM inao wengi kwa kila kitivo linganisha na vyuo vingine ujionee mwenyewe utofauti halafu angalia CV zao na CV za hao wa vyuo vingine.Chukua Almanac ya kila chuo ziko online cheki sifa za walimu kwa kila kitivo.UDSM imewatupa mbali.
Tutorial assistant UDSM hafundishi kazi yake kusaidia lecturers kuwafungia projector nk vyuo vingine anafundisha kozi hadi wa mwisho wa mwaka

safari ya kwenda UDSM mtoto anakiwa kusoma kweli kweli kuanzia form four afaulu pass za juu sana na akifika form six hivyo hivyo.
Usirudie tena, unajiaibisha mkuu..

kama huna uhakika na jambo bora unyamaze tu
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,581
2,000
Usirudie tena, unajiaibisha mkuu..

kama huna uhakika na jambo bora unyamaze tu
UDSM kwa Sasa Ni chuo Cha vipaji maalumu waliofanya vizuri mno O level na A level .wanaangalia pass zote form four na Six au diploma.vyote kwa mpigo.Kama huna pass za juu za vipaji maalumu sahau kujiunga UDSM.Cheki matokeo yako ya form four kwanza ulipata Nini,Kisha njoo form six ulipata Nini.Kichwa chako Kama hakiko consistent UDSM sahau tafuta vyuo vingine.Mfano form four ulipata division three form six ukapata division one .Katafute vyuo vingine Sio UDSM
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,159
2,000

UDSM ni chuo cha vipaji maalumu.Nafikiri unajua kuwa kuna shule za vipaji maalumu za serikali kama Mzumbe,iliboru,msalato,kibaha nk Kwa upande wa shule za vipaji maalumu za private ziko kama Marian ,nk.Huko huingia watoto wenye pass za juu mjinga mjinga hakanyagi.

Viko vyuo vikuu vya vipaji maalumu duniani vingine hujiita Triple A universities vikimaanisha Mtu anauejuiunga kwao anatakiwa kuwa na A tatu kwenye mitihani wa kidato cha sita.Vyuo kama Oxford,MIT,Yale nk

Kifupi UDSM ni chuo cha vipaji maalumu hiyo ndio tofauti ya Kwanza
Tofauti ya pili na vyuo vingine ni idadi ya uwingi wa ma Doctors na professors kwa kila kitivo.UDSM inao wengi kwa kila kitivo linganisha na vyuo vingine ujionee mwenyewe utofauti halafu angalia CV zao na CV za hao wa vyuo vingine.Chukua Almanac ya kila chuo ziko online cheki sifa za walimu kwa kila kitivo.UDSM imewatupa mbali.
Tutorial assistant UDSM hafundishi kazi yake kusaidia lecturers kuwafungia projector nk vyuo vingine anafundisha kozi hadi wa mwisho wa mwaka

safari ya kwenda UDSM mtoto anakiwa kusoma kweli kweli kuanzia form four afaulu pass za juu sana na akifika form six hivyo hivyo.
Huwezi kupata usipoteze muda.Wao huchukua Mtu kwa kujumkisha points zote za form four na six hawaangalii form six pekee ukiwa mkali form six form four ukawa ulikuwa chini wanakutema na kukutupa huko.Hawakuchukui.Wanachukua wawakili kichwani kuanzia form four hadi six .Nanda kaombe vyuo vingine sio UDSM ukitaka pitia wali
ochaguliwa uone kuanzia nyuma.Uzuri wao wote wanaowachagua huwapanga kwa kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho kuchagua wakionyesha matokeo yao yote ya form four na six wazi.Wako wawazi sana unajiona wazi kuwa kama wamekukataa vigezo huna ushindani hukuuweza Narudia division three kama mbali na UDSM
Naombeni mumvumilie huyu mtu, ana mimba inampelekesha.
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
15,815
2,000
Huwezi kupata usipoteze muda.Wao huchukua Mtu kwa kujumkisha points zote za form four na six hawaangalii form six pekee ukiwa mkali form six form four ukawa ulikuwa chini wanakutema na kukutupa huko.Hawakuchukui.Wanachukua wawakili kichwani kuanzia form four hadi six .Nanda kaombe vyuo vingine sio UDSM ukitaka pitia wali
ochaguliwa uone kuanzia nyuma.Uzuri wao wote wanaowachagua huwapanga kwa kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho kuchagua wakionyesha matokeo yao yote ya form four na six wazi.Wako wawazi sana unajiona wazi kuwa kama wamekukataa vigezo huna ushindani hukuuweza Narudia division three kama mbali na UDSM
Huu ni uongo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom