Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?

uyo kichwa chake kilifumuliwa akajazwa mavi then kikarudishiwa msameheni

Mkuu,
Hofu yangu ni kwamba huenda hamna abiria yeyote ambae aliyasema hayo bali ni maoni yako kwamba aipendae CCM anapaswa kupimwa akili! Na hata kama ni kauli toka kwa mtu mwingine, bado hupaswi kuishabikia kiasi cha kuwaona Ushauri wangu ni kwamba, haya mambo ya siasa wewe huyawezi hata chembe na katu usipende kutoa kauli kama hizo manake unaweza kukuta unamtusi hadi mama yako mzazi au baba yako!! Hivi unataka kuniambia familia yako yote (african extended family) ni wapenzi na wafuasi wa upinzani?! Je, wale ambao sio ambao sina shaka waoi; nao wakapimwe akili?! Ni ushauri tu.....ukitaka kuyaelewa haya niyasemayo jribu siku moja ukiwa umekaa na ndugu zako utamke bayana kwamba "anayeipenda CCM anapaswa kupimwa akili...!"

 
NASHANGAA MTU MZIMA HUJUI HATA MAANA YA QUOTATION!!!!, Inamaana hujaona hayo maneno nime ya quote??HUKU NI KWA GREAT THINKERS; HAPAKUFAI!!!
We ndugu ,katika watu wazima you are still an infant,and your post does not reflect much thinking on your art,achana hata na huo u-great thinker.
Kama umezoea ku-quote na kushabikia kama ngoma ya mdundiko, kaa chini na kufikiri unacho-quote.
 
Kweli wewe ni mzembe kweli wa kuona ukweli, CCM lazima ilaumiwe kwa hilo kwani hawajatengeneza mazingira ya hao unaowaita wavivu ya kuwapatia sehemu za kazi, badala ya chama hiki kuongeza viwanda au kuongeza ajira badala yake kinatengeneza mafisadi wa kuitafuna nchi, hakuna mtanzania asiyependa kufanya kazi ila kazi hakuna ziko kwa ajili ya watu kama wewe, wenye maslahi na CCM, au wenye baba zao mafisadi.
 
Umaskini wako usisingizie CCM , jilaumu ww mwenyewe kwa kutofanya kazi za bidii na maarifa. Wengi wanao lalamika hivyo ni wale wanaopenda vitu vya bure b


ndugu yangu waswahili husema tembea uone kweli duniani kuna maajabu sikutegeme kama utasema kauli hiyo we kama unaipenda thithim,akiri yako ni sawa na akiri yakunguru,au akiri chakavu thithim hawana jipwa,hv sera yao wanamagamba imefikia wapi?nafikiri kavue gamba kwanza pengine utatoa sera nzuri
 
Umaskini wako usisingizie CCM , jilaumu ww mwenyewe kwa kutofanya kazi za bidii na maarifa. Wengi wanao lalamika hivyo ni wale wanaopenda vitu vya bure bure
Hizo fursa za kazi ziko wapi? Unakumbuka serikali yako bandia iliahidi ajira millioni 1 na hadi leo zimekuwa kitendawili? Wanaofaidi maliasili ya taifa ni mafisadi wachache wakati wananchi wengi wanakufa kwa umaskini na maradhi! Bila hata aibu wanasiasa vibaka wachache wanafanya biashara ya kusafirisha hadi wanyamapori hai kwenda uarabuni!! Ccm haifai hata kumwongoza mwendawazimu!
 
Akiri za wanamagamba si za kuuliza zinajurikana ni za kunguru,na kwakweli ni chakavu na wanishiwa mpaka sera za kuongea angali uchaguzi wa Arumeru wanadanganya wanasema uongo mpaka unaona aibu sasa hivi wanajipanga kuiba kura kwasababu uongo umewaishia ipo siku ya wao kuondoka madarakani angalia Rais wa Senegal yupo wapi? Mwendo wa chura ni taratibu lakini weka kidole mdomoni itakula kwako watanzania ni wapole sana Thithim inasogeza vidole vyao kwa wananchi.
 
je ni siku gani watanzania tukashinda kutwa tumekaa bila kazi ya kufnya????????????

ni kinyume chake, maelezo yako nayapinga kwa kuwa wapenda vya bure ni ccm na ndio maana wapo tayari hata kuhonga wapate uongoziau wapo tayari hata kuua wabaki madarakani we dume lambegu ebu toa uthibitisho kati ya viongozi wa ccm na walala hoi nani anapenda vya bure.
 
Kwanza tazama idadi ya wabunge, halafu tazama idadi ya madiwani halafu uamuwe ni nani mwenye akili?

Hivi nyinyi kuongozwa na mtu ambae hana hata maadili, anatembea na mke wa mtu ndio mnajiona mna akili?
 
Kwanza tazama idadi ya wabunge, halafu tazama idadi ya madiwani halafu uamuwe ni nani mwenye akili?

Hivi nyinyi kuongozwa na mtu ambae hana hata maadili, anatembea na mke wa mtu ndio mnajiona mna akili?

Mkuu nakuunga mkono lakini next time tumia TAFSIDA
 
Alisikaka kijana mmoja akisema kwenye daladala "Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?" Akaongezea. "Umeme umepanda, gharama za maisha nazo juu, Mfumuko wa bei, Fuel, Chakula......

Mjadala huu ulionesha wazi kuwa CCM hana mtetezi kwakuwa kila mtu alielezea chakwake.

Lakini ntukirudi nyuma ni lazima tukubali kuwa CCM must GO. Hawanajipya na chi hii ni ya wa Tanzania.
Hawana jipya. Maende na wasubiri kifungo na kunyongwa kwa kulidhurumu taifa kwa kuendelea kuwachekea mafisadi.

Naomba nikusaidie kushanga maana swali hilo huwa najiuliza kila leo, hivi ni nini kinachowavutia watu kuipenda CCM.
Mimi pia ni mwa- CCM lakini siyo siri mtaji wa CCM ni ujinga wa watu. Wewe jiulize katika eneo lenye wasomi mambo yanakuwaje au jaribu kulinganisha hali ya watu wa mjini na vijijini. Kwa wasomi CCM, HOI. Katika maeneo ya mijini CCM hoi. Nashukuru shule za Kata ndizo zinaenda kuleta chachu ya kujitambua vijijini muda siyo mrefu mtausikia muziki wake.
 
Ndugu wana jamvi,ccm wameonesha wazi hawana nia nzuri na sisi watanzania,imeonekana wazi kwenye kikao cha leo cha bunge kwa naibu spika ndugai na wabunge wa ccm kuiondoa hoja ya mnyika kwa sababu ni mmbunge wa upinzani bila kujali msingi mzima wa hoja hiyo.wabunge wengi wa ccm karibu wote wamekuwa wakishabikia uchama kuliko taifa huku wakiwa hawana hoja yoyote kwa maslai ya taifa.natoa wito kwa kijana yeyote mwenye uchungu na taifa hili,tangaza chuki dhidi ya ccm popote ulipo,kama wewe ni kiongozi ccm,diwani,mmbunge,waziri nk hampo salama,mmetuchefua watanzania na sasa tunasema basi.liwalo na liwe
 
waipendao ccm, wana akili kama za maiti au ndege chichidodo.

i wish kumfahamu ndege uyo chichidodo, sidhani km ana akili za ovyo zaidi ya wafuasi wa CCM, ivi kukataa mradi wa maji safi dar wkt ndg zao hadha hii inawatesa kila siku maana yake ni nini? ivi jaman tumewakosea nini hawa wawakilishi toka ccm? au wanataka tutekeze mali zao apa Dar! ngoja waendelee kutuudhi? tujipange kwa nguvu ya umma kwa kishindo apa dar
 
Alisikaka kijana mmoja akisema kwenye daladala "Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?" Akaongezea. "Umeme umepanda, gharama za maisha nazo juu, Mfumuko wa bei, Fuel, Chakula......

Mjadala huu ulionesha wazi kuwa CCM hana mtetezi kwakuwa kila mtu alielezea chakwake.

Lakini ntukirudi nyuma ni lazima tukubali kuwa CCM must GO. Hawanajipya na chi hii ni ya wa Tanzania.
Hawana jipya. Maende na wasubiri kifungo na kunyongwa kwa kulidhurumu taifa kwa kuendelea kuwachekea mafisadi.

mungu bado anatupenda wanatanzani ametupa mpaka mfano wa misri,vuguvugu la mabadiliko ya kukurupuka yameifikisha nchi hiyo ilipo sasa,cdm bado sana kupewa nchi,ongezeni tu idadi ya wabunge kwa ajili ya kujipanga kuchukuwa nchini 2030 na kuleta bunge lenye uwajibikaji mkubwa zaidi
 
Anakuwa na akili timamu ila ubinafsi unampofusha moyo na macho yake. Binadamu anapozaliwa huwa na dhamira safi. Lakini anao uwezo wa kuua hiyo dhamira. Hata jambazi, muuaji, n.k wote wanajua kabisa kwamba matendo yao ni machafu, lakini wanua ile dhamira safi.

Kwa hiyo mimi namwona mwana CCM kama mtu aliye fanikiwa kuua dhamira safi
 
Back
Top Bottom