Mara baada ya uchaguzi wa 2010 nilimuuza jama yangu wa kijijini kwanini wanacahagua ccm. Akajibu kwamba wanahubiriwa kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita.
1, Maji safi ya kunywa hakuna hata hopo dar ambapo ndio jikoni. lakini uchaguzi ukija ccm
Elimu - wattoto wengi wanamliza shule bila kujua chochote.
Afya wagonjwa wanalaa chini, dawahakuna, vifaa hakuna
Kilimo- Jembe la mkono la kisasa power tiler
Umeme kila mtu anajua
Reli usafiri ulio bora kabisa umetelekezwa.
Mipango miji. Miji yote ni uchafu mtupu. sehemu alizojenga mzungu ndio nzuri hadi leo. Oyterbay upanga, uzunguni nk. msahili tandale, manzese mbagala.
Viongozi wetu ni wanafiki sana matatizo yote hayo wanayajua lakini hakuna anayetaka kusema ukweli na kuyashughulia ipasvyo.
nasema Tanzania tunayo safari ndefu sana. Majirani zetu wanatuacha katika kila idara imgawa nchi yetu imebarikiwa kuwa kila sasilimali yakujiletea maendeleo.
Hivi lini watanzania wataamka na kuitosa ccm kwa kuwa ndio chazo cha matatizo yetu
Tunaweza tumethubutu tunasonga mbele