Hivi mtu anamiliki simu zote hizi za kazi gani?

Labda Ana run mambo ya fedha ..Ni wakalaa mkuu lkn pia kina masao bwiree anazo nyingi pia
 
Nimeangalia tena hii picha.. Nadhani ni simu zake na za mchepuko wake jamaa kaamua kuziweka zote pamoja.hakuna kupigiwa hapa
JamiiForums1848244576.jpg
 
Back
Top Bottom