Hivi mtu aliyekwishazaa au kuzalisha hana haki ya ndoa?

KAMA BABA WATOTO AMEKATAA KULEA MTOTO NA MAMA
MIMI NI NANI WA KULEA MTOTO NA MAMAKE?
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Kwanza ondoa mwanaume kwenye huo uzi.

Mwanaume hajawahi kupata changamoto km hiyo.

Kuhusu haki inabidi ujue kuna haki utazipoteza kwa maamuzi mabaya utakayofanya kwenye maisha yako sasa ili liweke akili kwanza na sio kulialia.


Kila kosa unalofanya litakugharimu sasa kwa kiwango gani inategemea sasa una hela kiasi gani,jasiri kiasi gani,jinsia gani,umri?elimu yako?

Tujifunze kubeba matatizo yetu na ku deal nayo.Mwanamke mwenye mtoto si sawa na ambaye hana narudia tena sio sawa kabisaaaaaaaaaa labda niseme kidogo hata mwanaume asiye na pesa hawezi kuwa sawa na mwenye pesa.

Hilo ni JICHO la jamii ndo linaonyesha hivyo.Jamii zote duniani zina operate kwa facts hizo lielewe hilo hlf likubali hilo dont expect much.
 
Kwanza huu uzi walio oa wanawake wenye watoto hawapiti hawezi kukubali kajeli na maneno ya dharau.

Ila tulio jaa kwenye huu uzi ni wale ambao hatuna wanawake wenye watoto na wenye mahusiano bila mtoto au pure family n.k

Kwa hiyo wahusika kama wanapita humu basi mjue hao ndio wanaume sasa wanasoma uzi na maisha yanendelea

Kukaa na mwanamke alie zaa sio kazi ndogo kuna madingu makauzu mtoto anaweza nyimwa ugali na ada asilipiwe hlf mama anaendelea kupigana haya yapo jamani.
 
Back
Top Bottom