Hivi mtu akichaguliwa kuwa waziri anatakiwa awe na elimu kuanzia level gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mtu akichaguliwa kuwa waziri anatakiwa awe na elimu kuanzia level gani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by C programming, Mar 4, 2012.

 1. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  Wadau jana nilipita sehemu nikakutana na mdahalo mzito sana watu wakibishana hivi mtu kama wazili anatakiwa na elimu kuanzia level gani je ni degree,masters,phd....au diploma
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,237
  Likes Received: 14,479
  Trophy Points: 280
  awe mshkaji wa rais
   
 3. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sifa za sofia simba!!!'@
   
 4. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  mhh bado sijawapataa
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 145
  ani wasira, sitta, mama nagu namwandosya ni washikaji wa rais sio??

  wewe sasa una utani na watu

  ngoja waje wakubabue na polonium
   
 6. A

  Aaron JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,689
  Likes Received: 1,363
  Trophy Points: 280
  Uwe na pHD ya rushwa.
   
 7. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Soma tu Katiba, utajua mtu wa elimu gani anaweza kuwa kiongozi. Ila vyama ndio vimejiwekea vijikatiba vyao kwa viongozi
   
 8. d

  dav22 JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha ha ha ha ha
   
 9. d

  dav22 JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  he he he he he he yap nadhani hiyo ni one of the mandatory qualification maana almost 90% wote ni mafisadi aisee
   
 10. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,245
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Uwaziri ni ofisi ya kisiasa zaidi na si ya kitaalamu. Inawezekana uzoefu na elimu ya mtu ika msaidia katika kutekeleza majukumu yake, lakini hii sio lazima.

  Kama alivyosema SI pale juu, siasa ndio itakayoamua nani awe waziri -- ukaribu wako na mwenye nchi.
   
 11. Mani H

  Mani H Senior Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uwaziri ni uongozi wakisiasa zaidi, kama alivyosema mdau saint ukiwa mshikaji na rais unaukwaa
   
 12. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 10,096
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Minimum A.Q Uwe kama maji marefuu...
   
 13. P

  Panicum dS Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwe rafiki wa karibu wa mwenye nchi, uwe na degree ya ufisadi na uzoef wa kula rushwa nadhani kwa uongoz wa chama kinachotawala vgezo hivyo vinatosha kabisa..
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,466
  Likes Received: 1,826
  Trophy Points: 280
  kwa tz ni cheo cha kulipwa fadhila,mla na mtoa rushwa
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nenda muulize Joseph Mbilinyi(Sugu), Vicent Nyerere au Mgombea mwenza wa SLAA uchaguzi mkuu 2010
   
 16. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 846
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  awe na kadi ya chama tawala
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,212
  Trophy Points: 280
  1.Uwe na urafiki na rais na pia umpe michango kipindi cha kampeni eg EL
  2.Uwe na urafiki na mkuu wa TISS akufanyie mipango eg Membe
  3.Uwe na influence/effect kwa magamb.a eg 6
   
Loading...