Hivi mtanzania anayeishi Marekani, Ujerumani au Uingereza anajua shida za masela wa Pandachigiza?

Acha ushamba wako toka kolomije na chato, kwani shida za hao huko vijijini shinyanga zimetatuliwa na ununuzi ndege, kukomboa ndege, kujenga uwanja wa ndege chato kwa kuchukua Trillion 1.5 kienyeji Hazina ( BOT) ? Mtanzania wa Ulaya hajui shida ya wa vijijini shinyanga kivipi? Watanzania kote Duniani wanajua pesa zote za maendeleo wanakula kifisadi wasukuma wawili washamba toka kolomije na chato,miladi yote Nchini wana 10% zao humo ni mafisadi kuliko awamu zote tokea Nchi ipate Uhuru, vichekesho uache wewe kilaza kuwa serous dai Trillion 1.5 , mdai Mtukufu pesa za kivuko feki bilion 8 , mdai zile bilion 252 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa,’mdai Zile nyumba za serikali alizojinunulia kibao tena kienyeji akagawa kwa mdogo wake na hawala ambao hawakuwa watumishi Umma,kama ulikuwa hujui sasa kaa ujue mafisadi ni hao na kinara wa Ufisadi ni Mtukufu malaika toka chato.
Mnachomekea chomekea tu udaku mliomezeshwa na yule dada halafu jana mkamkimbia
 
tulikuwa pamoja shule na huyo wa Pandachiziga lakini akaamua ku drop out, leo hii mimi nina ma stress yangu ya ku maintain middle class life standard, huyo wa Pandachiziga is not a special citizen, na yeye apambane na hali yake

isitoshe yeye tayari anapata special dispensation, LUKU yake bei tofauti, kodi halipi, shule anasomesha bure au za cheap poor standards vijijini, hana cha fuel bill wala kodi au ujenzi, eff them!
Wewe uko ughaibuni?
 
Wewe uko ughaibuni?

Nimewahi kufika huko ughaibuni

Na kuhusu tabu za kuwashwa na maji ya mpunga, unalima mpunga halafu huwezi kununua mabuti ya elfu 20, screw you!

Watu wa Tandachigiza huko tunawajua, ana ng'ombe 40 zizini halafu hawezi kusomesha mtoto anataka kumleta mjini kwa mjomba asomeshwe bure, eff them!
 
Pandagichiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandagichiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko [HASHTAG]#Pandagichiza[/HASHTAG]?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!

Hao waliopo Magogoni na Lumumba wanajua hata ya hapo Kariakoo?? Inanikumbusha wakati wa ujamaa wa Nyerere , na Ile nyimbo ya twendeni Gezaulole huku mwimbaji yuko DDC akimaliza kuimba anakunywa bia yake Kariakoo
 
Pandagichiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandagichiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko [HASHTAG]#Pandagichiza[/HASHTAG]?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!

Jinga Lao liko Pandagichiza ya Lumumba linalima mpunga wa buku 7
 
Kuna mtanzania wa Dar es salaam pia anaweza asijue shida za huko kwenu Pandagichiza. Ila kama mtanzania wa California ni mzaliwa wa na amekulia Pandagichiza atakuwa anajua shida za huko.
 
Back
Top Bottom