Hivi mtanzania anayeishi Marekani, Ujerumani au Uingereza anajua shida za masela wa Pandachigiza?

Uko Sawa kabisa,hao mburula wacha waandamane wapenyuliwe miguu tuje moja.huyo mhamasishaji mwenyewe kahamia huko juzi tu,Leo anashindia maskio wajinga
 
watu wamezaliwa ulaya na America lakini kwakuishi kwao huko tu ...wanafahamu kuwa Africa ni bars la watu masikini ...

ikiwa hao hawajawahi kufika huku mbona hushangai kuwa habari hzi wamezijuaje ..?? kwani imekuwaje mpka wewe ukamfamu 50cent wakati hujawahi kufika America ...yaani hoja yako niyakipuuzi kabisa ...huko Lumumba cjui mwafundishana ujinga ...vyombo vyote vya habari hvi vilivyopo duniani halafu bado wauliza kuhusu watu wnaoishi huko kuzipata habari za huku Tanzania ....kuna diaspora wangapi waliopo nje ya nchi ambao licha yakufuatilia habri katk mashirika ya habari kama ..idhaa ya kiswahili ya ujerumani ..BBC Swahili ..na VOA ...BADO wapo ktika jukwaa hili La Jamii forum na hata hiyo post yako wataisoma pia nakuishia kuishia kukushangaa

TULIA DAWA IKUINGIE AISEEE
 
Pandagichiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandagichiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko [HASHTAG]#Pandagichiza[/HASHTAG]?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
Kuna mambo matatu ambayo yanatakiwa yawe ndio msingi wa maandamano,
  • Mauaji ya kiholela (Kibiti n.k)
  • Mauaji yenye harufu ya kisiasa (vifo na attempt dhidi ya upinzani)
  • Mwenendo wa kisiasa ambapo Chama tawala kina fursa kubwa kuliko washindani wake (zuio la mikutano,kuzuia bunge n.k)
Kinyume na hayo maandamano yatakuwa hayan maana.
 
Wakati wengine tunafikiria kwa kutumia brain..mleta mada anafikiria kwa kutumia mswaki.
shame on u
 
Kuna mambo matatu ambayo yanatakiwa yawe ndio msingi wa maandamano,
  • Mauaji ya kiholela (Kibiti n.k)
  • Mauaji yenye harufu ya kisiasa (vifo na attempt dhidi ya upinzani)
  • Mwenendo wa kisiasa ambapo Chama tawala kina fursa kubwa kuliko washindani wake (zuio la mikutano,kuzuia bunge n.k)
Kinyume na hayo maandamano yatakuwa hayan maana.
Mauaji ya kibiti yaliua viongozi wengi sana wa CCM pamoja na askari polisi ...CCM ilitoa tamko la kulaani mauaji hayo na kuliomba jeshi la polisi kuyashughulikia ....hatimaye ya kibiti yamepia na kuna utulivu mkubwa.
Hatukuhitaji maandamano kuzuia mauaji kibiti but a professional work ya polisi wakishirikiana na raia wema.
 
watu wamezaliwa ulaya na America lakini kwakuishi kwao huko tu ...wanafahamu kuwa Africa ni bars la watu masikini ...

ikiwa hao hawajawahi kufika huku mbona hushangai kuwa habari hzi wamezijuaje ..?? kwani imekuwaje mpka wewe ukamfamu 50cent wakati hujawahi kufika America ...yaani hoja yako niyakipuuzi kabisa ...huko Lumumba cjui mwafundishana ujinga ...vyombo vyote vya habari hvi vilivyopo duniani halafu bado wauliza kuhusu watu wnaoishi huko kuzipata habari za huku Tanzania ....kuna diaspora wangapi waliopo nje ya nchi ambao licha yakufuatilia habri katk mashirika ya habari kama ..idhaa ya kiswahili ya ujerumani ..BBC Swahili ..na VOA ...BADO wapo ktika jukwaa hili La Jamii forum na hata hiyo post yako wataisoma pia nakuishia kuishia kukushangaa

TULIA DAWA IKUINGIE AISEEE
Usipanic broo!!
Kwa hiyo changamoto za Pandagichiza utaisikilizia CNN eeh??ndio maana nawashauri muendelee kupost twitter na mtupishe tufanye maendeleo ...Pigeni selfie ....sakeni trends ....gombeeni followers ila kazi ya Maendeleo muachieni Jembe John P Magufuli
 
Wewe uliye Tanzania unajuaje kinachoendelea vijijini huko kama sio kupata updates kupitia vyombo vya habari? Sources unazotumia wewe hata nje zinafika acha ujinga. Unataka utuambie umetembea vijiji vyote kufuatilia updates za maisha ya watu?

Kaa jiangalie kwanza, jiulize umefanya nini na una maganikio makubwa kiasi gani, kama huna jibu zuri basi jua tatizo ni moyo wako wa mapokeo, kila kitu unasubiri ufikiriwe badala ya kuchukua maamuzi. Watanzania ka wewe ndiyo sababu leo nchi ipo hapo ilipo, hamna za kujiongeza, so many people in Tz mpo very ignorant inasikitisha sana.
 
Ignorants ni nyie mliyetumia kodi za wavuja jasho kusomea halafu badala ya kubuni miradi ya maendeleo mnatuletea interests za NGOs za mabwabwa zilizopigwa marufuku!
 
Usipanic broo!!
Kwa hiyo changamoto za Pandagichiza utaisikilizia CNN eeh??ndio maana nawashauri muendelee kupost twitter na mtupishe tufanye maendeleo ...Pigeni selfie ....sakeni trends ....gombeeni followers ila kazi ya Maendeleo muachieni Jembe John P Magufuli
wwe umeona chanzo cha habari ni CNN pekee tu sindio ...hii Jamii forum kwako sio chanzo cha habari au sio !!? wew Jamaa bhana ..I'd yko inashiri ulichohifadhi ktika kichwa chako aisee
 
Mauaji ya kibiti yaliua viongozi wengi sana wa CCM pamoja na askari polisi ...CCM ilitoa tamko la kulaani mauaji hayo na kuliomba jeshi la polisi kuyashughulikia ....hatimaye ya kibiti yamepia na kuna utulivu mkubwa.
Hatukuhitaji maandamano kuzuia mauaji kibiti but a professional work ya polisi wakishirikiana na raia wema.
Uko very right lakini naomba twende mbele kidogo.
Mauaji ya Kibiti yamepoa na ni kazi ya profesional police na vyombo vingine vya usalama,hongera nyingi!!
Kuna makandokando yanayohusishwa na utulivu wa Kibiti (rejea usukamani palitulizwa lakini Waziri Mwinyi na wengine wakajiuzulu) na kwa mantiki hiyo si suala la utulivu tu ni pamoja na njia zilizotumika kuleta utulivu huo!!
La pili umezungumzia na kutaja CCM na inawezekana kwa kuwa hao waliuliwa ndio maana serikali ikajali na imeshindwa kujali kwa kasi na nguvu hiyo wanaouawa wakiwa ni wapinzani (rejea alphonce Mawazo,Hananasif ,na mengine).
Sidhani na siamini kuwa kuna watu wataandamana siku hiyo lakini naamini ni fursa nzuri kwa serikali kujitafakari na kuchukua hatua.
 
wwe umeona chanzo cha habari ni CNN pekee tu sindio ...hii Jamii forum kwako sio chanzo cha habari au sio !!? wew Jamaa bhana ..I'd yko inashiri ulichohifadhi ktika kichwa chako aisee
Uliwaona hao jamaa zako wakiingia JF au wakiquote JF??wao wanajiona masupestar na kushobokea twitter,BBC,CNN....
 
Kuishi nje ya nchi hakufanyi nisiwe na uchungu na nchi yangu maana kabla ya yote ni mtanzania na nina ndugu na marafiki ambao bado wanapata shida: kwa mfano tu huko kijijini kwetu hamna maji (watu wanakunywa maji ya mtoni), huduma za afya ni lazima wasafiri si chini ya km 10( hii dispensery yenyewe ni ya kanisa, thanks to the catholic sisters) achilia mbali umeme, sasa naachaje kuwa na uchungu kama haya niliyoyapitia mimi bado ndugu zangu na wanakijii wanayapitia.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom