Hivi mtandio wa Salima unasema kinachofanyika kwa sasa?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,467
ladies.jpg
 
sidhani kama anaweza kusoma hayo maneno kwenye hiyo kanga maana elimu ya kuunga na kingereza cha kubabaisha vimsumbua sana huyu mwanamke
 
yeye mwenyewe haelewi hata maana ya kilichoandikwa kwenye huo mtandio!!!

wewe umenena

its all about nonesense

Hiyo siyo mtandio ni khanga.

Mkuu Bora Umesema Wewe Hilo, Naona na Mjadala Utakuwa Umefungwa.
MariaRoza unachakuongezea?

Hata matching hakuna hapo, yule mkalimani wake yuko wapi

sidhani kama anaweza kusoma hayo maneno kwenye hiyo kanga maana elimu ya kuunga na kingereza cha kubabaisha vimsumbua sana huyu mwanamke

Great Thinkers!!!!!
hahahaha hahahaha hahahaha
guys you made my day. wacha nikatafute kitimoto
 
Back
Top Bottom