Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

Mkuu kwa kawaida tu head state ya Wasukuma wote ipo USUKUMA Mwanza na hata zile shelehe na bhulabho zilikua zinafanyikia mara nyingi maeneo yale na huko ndiko mtemi wa kabila lote aliteuliwa japo anaweza kutoka sehem yeyote wasasa sijajua ametokea eneo gan japo wamwisho mie kumfahamu alikua Majebhele toka Busia.
Kuna kitabu kipo pale Bujora Mwanza kina historia yote ya usukumani
 
Tafuteni kitabu kinaitwa, "IMANI ZA JADI ZA KISUKUMA, HAKIKOME ". kitabu hiki kiliandikwa na Hendricks Chenya na Anthony Mayala
 
Back
Top Bottom