Hivi msimaizi mkuu wa kura jimboni ni Mkuu wa Wilaya au Mkurugenzi?

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Naomba kujulishwa msimamizi mkuu wa kura majimboni ni nani?

Nataka nitoe shaka maana kuna vijana wa chama pinzani nimekuta wakilalama kuhusu panga pangua ya wakurugenzi na maDC inayoendelea ya kwamba imetarget majimbo konki. Je ni kweli?

Mimi mgeni kwenye hio sekta

Nijulisheni wakuu.
 
Kama Hadi Leo Haujui Hilo Unashangaza Sana, Hii pangua pangua haisaidii it’s too late
 
Naomba kujulishwa msimamizi mkuu wa kura majimboni ni nani??

Nataka nitoe shaka maana kuna vijana wa chama pinzani nimekuta wakilalama kuhusu panga pangua ya wakurugenzi na maDC ya kwamba imetarget majimbo konki.Je ni kweli??
Mimi mgeni kwenye hio sekta

Nijulisheni wakuu.


Jpm pressure inapanda pressure inashuka bro✌️✌️ther magu chadema ni baba lao.
 
Na wakurugenzi wengi ni kati ya hawa
1. Watumishi tena OFISI YA RAIS
2.makada waliotukuka na kuaminika
3.Watiifu kwa mkuu
N.B ni mawazo yangu na sio kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom