Hivi Mshauri Huyu Alikuwa Sahihi.?

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Salma na Ali ni wapenzi wa muda wa miaka 2 sasa.
Ali alikaa kijiweni na kusikia habari juu ya utamu wa kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile na kuambiwa hataweza kukuacha tena. Kwa kuwa Ali anampenda Salma,wakiwa chumban Ali anamuomba Salma wafanye kinyume na maumbile,Salma anakataa kata kata huku ali akisisitiza kuwa anaomba wajaribu tu kwa lengo la kuthibitisha.
Mgogoro unakuwa mkubwa Ali anataka iwe lazima.
Salma anakwenda kwa Mshauri TAYOA
mshauri: kwa kuwa analo kwenye akili nilazima atataka kufanya na kama atakataa anaweza kufanya na mwingine wapo wanaojulikana kwa kutoa huduma hiyo,lakini pia kumbuk hataweza kuingia na kinga kula ni sehemu ya heshma hawaend watu na viatu hivyo kama ni maradh atakuletea nawewe.
Salma inabidi ampigie Ali kuwa niko tayari.
Nae akaenda cku ya kwanza alishindwa kumfanyia,next day akamfanyia Salma alikuwa akilia kwa maumivu,huku Ali akishindwa kuona tofaut yoyote na kumuahidi Salma kutomfanyia tena.
Je mshauri kumruhusu Salma kumpatia Ali huduma hiyo alikuwa SAHIHI?
 
duh................ndi washauri wa TAYOA hao??????????

hii nchi kila sehemu kuna haribika.....TAYOA ya wapi???????
 
Aaah the Boss hiyo real kaka tena jamaa ni mshikaji wangu anaishi magomeni dosi
 
Lakini the boss huoni kuwa Ali amefahamu ukweli na Pia Salma kajua namna gani inauma?
So mimi nadhani alikuwa sahihi.
 
Kweli ingekuwa issue lakini ni madhara gani angeyapata Ali kama angekwenda kwa binti ambae ni maarufu kwa kutoa tigo na kama ujuavyo no viatu pale.?
 
Boss usipoteze muda na akili kujibu kamba za mtindo huo mkuu! watu wanatungatunga vistori vya ajabu ajabu tu! Hovyoooooooooooooooooo!
 
Duuu... Kweli dunia ngumu.... Baada ya kusoma habari hii ikabidi nianze kuwatafuta hao TAYOA nijue ni akina nani.... Uchunguzi wangu unaonesha kuwa
  • TAYOA hawana sehemu ambapo mtu anaenda kwa ushauri kama mtoa mada alivyoandika
  • Nimewatafuta hadi nikawapata na nimegundua kuwa jamaa wanachofanya ni ushauri nasaha na kulingana na kanuni za ushauri nasaha sio jukumu la mshauri kufundisha ni nini cha kufanya bali ni jukumu la mnasihi kuweka wazi hatari na faida za kufanya tendo fulani ingawa kuamua kufanya au kutofanya ni uhuru wa mtu binafsi hasa baada ya kuwa ameshajua faida na hasara.
I dont like that I have to comment on this
 
]Mmmh hii inabidi tuifuatilie na ichukuliwe hatua[/COLOR]

Tukiwachukulia hatua tutasema wamekosa nini?
  • Wamemwambia dada kuhusu hatari ya kupata STI's inayoweza kumkabili kwa kujihusisha kwenye anal sex
  • Wamemwambia ukweli kuwa huyo jamaa yake anaweza kucheat kwa sababu tayari anataka kujaribu anal sex
haujatuambia kama mshauri alimshauri afanye anal sex. Mimi sioni kosa la hao TAYOA ila inaonekana imma one sio mzima na unamatatizo binafsi na hawa jamaa. Una siku 20 jukwaani na 98 posts
 
imaone hiyo ni wewe moja kwa moja ila usishangae huyo salma wako atakapoanza kutoa damu ya mwezi huko huko masaburini na siku ya kuzaa mtoto itabidi atokee huko huko masaburini, hapo sijui ushauri utaufuata kwa nani tena.
 
Itanibidi niufuate kwako sasa au unasemaje?
Ok mimi sio muhusika ila pia nashukuru kwa maoni yako.
 
Back
Top Bottom