Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Jamani mwenye kujua ni milioni ngapi polisi wa cheo cha chini kabisa analipwa atujuze.
Inaonekana wanalipwa vizuri kuliko watumishi wote wa umma.
Hii ni kutokana na moyo wao uliotukuka na wa kizalendo wa uchapaji kazi katika kiwango hiki cha juu.
Bila shaka wanapendelewa kimaslahi kuliko watumishi wote wa umma.
Naona serikali inawajali kwa kila kitu kama makazi bora, n.k.
Bila shaka mauaji yataendelea ili kulinda maslahi yao mazuri wanayopata.