Hivi msanii Mirror yupo wapi siku hizi? Mbona kazi zake hatuzisikii

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,399
5,522
Habari za asubuhi guys..

Kuna huyu msanii almaarufu kama mirror nakumbuka miaka michache iliyopita kakimbiza sana na ngoma zake Kali na hata kwenye matamasha.

Baadhi ya ngoma zake Kali na zilizokimbiza ni hzi:-
* Mirror - one and only
* Mirror - nibembeleze
* Mirror - kidogo
* Mirror - nadata..

Actually jamaa alikuwa ananikosha sana hata kwa upande wa videos zake alikuwa very smart.

Miaka ya 2012,2013 even 2014 jamaa aliwika sana.
Wenye kufahamu kuhusu hili naomba watufahamishe, jamaa kapotelea/kakimbilia wapi
 
Ngoma yake ya muda wote ninayo ikubali ni ile "Baby" dina hakika kama jina liko sahihi

"Oh baby leo kama nikikkuona nitafurahi"
 
Inaitwa Baby ndiyo ni kali sana...

Ana ngoma nyingine inaitwa Buguruni nayo alitisha sana..

Miaka ya karibuni alijaribu kurudi na alitoa ngoma na Baraka inaitwa Naogopa ila haikufika mbali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom