Hivi Mossad wanawzaje kufanya mambo makubwa bila kugundulika na kutuhumiwa kama huku kwetu?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,564
15,294
Tuhuma za msbaya kwa watu wetu wa usalama sio siri maana hata bungeni zinajadiliwa.

Wengine wanakurupushwa kwenye nyendo zao za kutimiza wajibu mfano '' kisa cha zakaria wa musoma''.

najiuliza maswali,
Je hatuna mbinu za kutosha kufanya mambo au kukusanya habari bila kushtukiwa kama wazayuni wa mossad?.
 
Mossad,wakiwa wanatafuta vijana wa kuingia,kitengo nyeti,secret service,hawaangalii MTU sura,au huyu ni mtoto wa nani,wana recruit vijana wenye weredi,walio vzr,kisaikolojia,ki elimu,ki afya,kitabia.na wanapewa mafunzo ya hali ya juu.
Huku kwetu,anaye Fanya recruitment,mwenyewe aliingia kwa magumashi,unategemea nini?
Hapa mjini Dar,ukitembea kitaa tunakutana na wajeda vijana,ukiwaangalia,unajiuliza huyu aliingiaje jeshini.kavaa kata K,kofia kaiweka kichwani kama teja!hawezi kuangaria watu machoni,anakuwa muoga muoga!
 
Sisi ni viumbe dhaifu mentally and strategically
Tuhuma za msbaya kwa watu wetu wa usalama sio siri maana hata bungeni zinajadiliwa.
Wengine wanakurupushwa kwenye nyendo zao za kutimiza wajibu mfano '' kisa cha zakaria wa musoma''.
najiuliza maswali,
Je hatuna mbinu za kutosha kufanya mambo au kukusanya habari bila kushtukiwa kama wazayuni wa mossad?.
 
Ajira ni kwa watoto wa makada tu
Ndo hapo TISS wanapofeli balaa.
Kuna movie moja nahisi imefungiwa nimesahau jina lake walikuwa wanaonesha namna wanavyofanya recruiting ya majasusi. Humo ndani kuna mapacha mawili waliandaliwa tangu wapo primary mpaka kufika university walikuwa among the best spies kwa USA. Walionesha nahisi karibia the whole format ya job recruiting ya FBI and CIA.
 
Recruitment ya Taasisi la kijasusi kama Mossad ni tofauti na taasisi zingine za kijasusi. kuna idara nyingi ndani ya Mossad, hivyo kupelekea usahili kuwa tofauti kulingana na idara husika.

Kuna specialised divisions ndani ya Mossad ambazo zina kazi zinazohitaji usiri, weredi na uzalendo wa hali ya juu Sana. Vitengo hivi vina sahili vijana wenye umri mdogo Sana ili waweze kuwaanda kisaikolojia, kiitikadi, kimkakati, kizalendo na kiweredi Kwa viwango wanavyovitaka wao. Pengine wanachukua vijana chini ya umri wa miaka kumi ambao hawajawa contaminated, na social circle yao bado ni ndogo Sana hivyo kurahisisha kuwa groom na kuwa officers na agents Bora kabisa duniani.
Pia wanaangalia IQ, physic na mambo mengine kadha wa kadha. Na hivyo kupelekea hii Taasisi kuwa miongoni mwa Taasisi makini, mashuuri na yenye kila weredi unaohitajika Kwa kila kazi wanazozifanya.
Pia Wanachukua vijana kutoka jeshini hasa kwny vitengo vya makomando kama sayaret matkal, shayetet 13, shalda, maglan, Egoz, na duvdevan-mistaravim.
 
Tuhuma za msbaya kwa watu wetu wa usalama sio siri maana hata bungeni zinajadiliwa.

Wengine wanakurupushwa kwenye nyendo zao za kutimiza wajibu mfano '' kisa cha zakaria wa musoma''.

najiuliza maswali,
Je hatuna mbinu za kutosha kufanya mambo au kukusanya habari bila kushtukiwa kama wazayuni wa mossad?.
Mkuu hata hao wazayuni wa Mossad kuna operation walifanya zikashitukiwa na nyingine kuharibika kabisa.

Wenyewe ktk kitabu chao wameshaandika na vyombo vya habari vya Aljazeera na vya magharibi vimesha ripoti.

Mfano operation ya hotelini Dubai na nyingine ya kumdondoshea matone ya sumu ya kibaolojia adui yao pale Armani Jordan ilibumburuka na kuleta mgogoro mkubwa sana wa kidiplomasia kiasi cha waisrael kulazimika kumpa antidote muhanga wao akapona.
 
Kiasa cha kule Jordan kinafanana sana tu na cha Zakaria wa Mara isipokuwa wale hakukuwa na bunduki.
 
Ndo hapo TISS wanapofeli balaa.
Kuna movie moja nahisi imefungiwa nimesahau jina lake walikuwa wanaonesha namna wanavyofanya recruiting ya majasusi. Humo ndani kuna mapacha mawili waliandaliwa tangu wapo primary mpaka kufika university walikuwa among the best spies kwa USA. Walionesha nahisi karibia the whole format ya job recruiting ya FBI and CIA.
Inaitwaje hiyo Movie mkuu.
 
Kuna raia Wa Tanzania ambaye hajui hizo siri Kuwa zinatoka kwa mtu au mamlaka fulani???
TISS imekuwa rafiki Wa vitu vya kijinga jinga tu, intelligence ya taifa haina integrity mpaka confidentiality.
Yaani hata siku moja hatuwezi kufananisha Mosaid au FBI CIA na ujinga Wa Tanzania.....
 
Unahisi unawajua au kuijua kazi ya TISS?
Siwajui mkuu namjua mkuu wao tu ambaye huwa tunamuona, ila kazi zao kwa Mujibu wa maelezo ya waziri mmoja simkumbuki jina akiwajibu wakina Zitto ni kukusanya taarifa (gathering intelligences) na sio kupambana
 
Mkuu hata hao wazayuni wa Mossad kuna operation walifanya zikashitukiwa na nyingine kuharibika kabisa.

Wenyewe ktk kitabu chao wameshaandika na vyombo vya habari vya Aljazeera na vya magharibi vimesha ripoti.

Mfano operation ya hotelini Dubai na nyingine ya kumdondoshea matone ya sumu ya kibaolojia adui yao pale Armani Jordan ilibumburuka na kuleta mgogoro mkubwa sana wa kidiplomasia kiasi cha waisrael kulazimika kumpa antidote muhanga wao akapona.
yap, kuna moja walifurushwa Norway,
walikuwa wanamendea jamaa mmoja gaidi la syria walimfananisha sura, wote wakaishia Jela, walijaribu kukimbia wakaishia kunyea ndoo na umossadd wao. Na Mission yao ikakatishwa kabisa barani ulaya kwa miaka kadhaa. Ila walikuwa wamezagaa kila kona kutengua hujuma zote za waarabu zilizokuwa zinasukiwa huko ughaibuni.
 
Ndo hapo TISS wanapofeli balaa.
Kuna movie moja nahisi imefungiwa nimesahau jina lake walikuwa wanaonesha namna wanavyofanya recruiting ya majasusi. Humo ndani kuna mapacha mawili waliandaliwa tangu wapo primary mpaka kufika university walikuwa among the best spies kwa USA. Walionesha nahisi karibia the whole format ya job recruiting ya FBI and CIA.
Hata kama imefungiwa kama unaikumbuka inaitwaje kuna mbinu za kupata hivi vitu Damaso
 
Back
Top Bottom