Hivi mnaposema Simba inajiendesha kwa hasara mnafikiria nini?

Naomba nipate ufafanuzi.Iwapo Simba inapata hasara kwa uwekezaji wa Bilioni 20 +25 tunazoambiwa,je huyu Azam media angepata faida gani kuwekeza bilioni 48 kwa Simba?

Je, Simba ikiamua kutangaza biashara yoyote,mfano ya bia n.k,wanaweza kulipwa kiasi gani kwa mwaka?

Je, Simba hii, hii, ukichukua idadi ya wanachama ilio nao,kila mmoja akanunua kadi ya uanachama kwa shilingi elfu 20,itaingiza kiasi gani?

Je, viingilio katika mechi,vinamchango wa shilingi ngapi kwa mwaka?

Je, mauzo ya jezi na Bidhaa nyingine za Simba,vinaingiza shilingi ngapi?

Iwapo kampuni au kiwanda kimoja tu cha dawa,kinatumia zaidi ya bilioni 20kutangaza bidhaa zake,je wakitokea wawekezaji wawili tu,waamue kutoa bilioni 5 kila mmoja kwa mwaka kudhamini Simba,hiyo pesa haitoshi kujiendesha kwa mwaka mmoja?

Ifike mahali tuache kuidhoofisha timu kwa kutaka kupata umaarufu binafsi tu.

Ninachokiona ,kama Simba inaendeshwa kwa hasara,basi ni uzembe wa mwekezaji katika kuitumia Simba kufanya biashara.

Leo nasema huyu mwekezaji ana bidhaa zake zinaidhamini Simba,lakini hatumii watu wenye akili kumtangazia biashara zake kupitia Simba.

Azam wako vizuri kimkakati na ndio maana bidhaa zao zinapendwa sana.

Sasa hivi kwa kanda ya ziwa kuna kampuni ya Jambo wanakuja juu sana katika biashara ya vinywaji baridi,

Mo anatumia watu cheap,au anatumia vyeti vya watu badala ya kutumia akili za watu wafanye ubunifu kwa kuanzia logo hadi muonekano wa bidhaa zake.

Mabidhaa yake ninayoyajua,wametumia basic colors kuyapamba utadhani nyumba za vijijini zinavyopambwa na rangi za kukoleza. Hajui kuwa anahitaji wataalamu wanaoweza kukuwekea rangi kwenye bidhaa,ikamvutia mnunuzi kutumia bidhaa yako.

Aende Kenya kuwauliza sunlight wanatengenezaje sabuni zao za unga hadi zinatafutwa sana madukani na hazionekani.Sio unatutengenezea misabuni ya kufulia maturubai pekee.Huwezi kutoa na zile za kufulia nguo za maana zikiwa na franrance za maana?

Simba ni timu kubwa kamwe haiwezi kuleta hasara,isipokuwa mikakati ya kimenejerial ndiyo mibovu.Mfano ni ni pale kupata kadi ya Simba ni kama vile unaomba Visa ya Marekani.Hakuna matangazo ya wazi ni wapi zinauzwa,kwa bei gani.Hata jezi tu huku mikoani hazipo,na watu wako tayari hata kununua kwa sh. Elfu 50 mradi ziwe za vuwango.

Ukitaka kushusha kiwango ili watu wengi wanunue hii nayo ni mikakati ya kizembe. Hao utopolo kuna watu walitoka huku mikoani kwenda kununua jezi za yanga kuna walionunua kwa sh. Elfu 80 jezi moja.Ninawafahamu ni askari wa jeshi.

Leo mtu mmoja ana kaa mahali anatuaminisha eti Simba ina hasara?Kivipi?
Mpeni Dokta Mwaka
 
Naomba nipate ufafanuzi.Iwapo Simba inapata hasara kwa uwekezaji wa Bilioni 20 +25 tunazoambiwa,je huyu Azam media angepata faida gani kuwekeza bilioni 48 kwa Simba?

Iwapo kampuni au kiwanda kimoja tu cha dawa,kinatumia zaidi ya bilioni 20 kutangaza bidhaa zake, je wakitokea wawekezaji wawili tu, waamue kutoa bilioni 5 kila mmoja kwa mwaka kudhamini Simba,hiyo pesa haitoshi kujiendesha kwa mwaka mmoja?
Kwanza utofautishe kati ya mwekezaji na mdhamini, hii kitu inawachanganya sana watu wengi na unakuta wanaandika makala ndefu ndefu kumbe hazina kitu. Kukusaidia tu ni kwamba mwekezaji ni sehemu ya wamiliki, sio mtu wa nje, kampuni ikipata faida naye ana sehemu yake ya faida, ikipata hasara naye ana sehemu yake ya hiyo hasara. Mdhamini anakuja kutoka nje, si sehemu ya kampuni. Yeye anaangalia kampuni yake inayotoa udhamini, faida au hasara ya kampuni inayodhaminiwa wala haimuhusu

Pili, nitajie mdhamini gani atatoa bilioni 5 kwa mwaka kwa timu moja. Nimesisitiza neno 'kwa mwaka' ili likuingie vizuri kichwani na likufanye utafakari zaidi. AzamTV udhamini wake kwa Yanga ni miaka 10, maana yake amewapa Yanga hela na wao wamepoteza haki juu ya content zao katika matangazo ya TV kuanzia mazoezi hadi mechi za kirafiki, za timu zote za wanawake, vijana na wanaume. NBC imetoa udhamini wa miaka mitatu kwa TFF, sh. 2.5B. GSM ilitoa udhamini wa miaka miwili kwa TFF, 2.1B (tena kwa timu 16, ndio maana ukasikia timu zinapata milioni 3 kwa mwezi). Sasa sijajua huyo mdhamini wa 5B kwa mwaka atatoka wapi! Tuache kupiga mahesabu yasiyo na uhalisia, na yasiyo na ukweli. Hiyo 20B ya Mo siiweki hapa kwenye udhamini maana nitakuwa kama wewe, yaani kuleta hela za uwekezaji kwenye dhana ya udhamini
 
Kila mwaka Mo anatoa bilion 5 km ufadhili. Kwa miaka mitano aliofadhili unapata hiyo bilion 25 jumlisha na hiyo ya uwekezani unapata hiyo bilioni 45.

Kiuhalisia Mo km Mo anaweza kuwa anaongea kweli. Ila kiushabiki mtamsulubu
 
Naomba nipate ufafanuzi.Iwapo Simba inapata hasara kwa uwekezaji wa Bilioni 20 +25 tunazoambiwa,je huyu Azam media angepata faida gani kuwekeza bilioni 48 kwa Simba?

Je, Simba ikiamua kutangaza biashara yoyote,mfano ya bia n.k,wanaweza kulipwa kiasi gani kwa mwaka?

Je, Simba hii, hii, ukichukua idadi ya wanachama ilio nao,kila mmoja akanunua kadi ya uanachama kwa shilingi elfu 20,itaingiza kiasi gani?

Je, viingilio katika mechi,vinamchango wa shilingi ngapi kwa mwaka?

Je, mauzo ya jezi na Bidhaa nyingine za Simba,vinaingiza shilingi ngapi?

Iwapo kampuni au kiwanda kimoja tu cha dawa,kinatumia zaidi ya bilioni 20kutangaza bidhaa zake,je wakitokea wawekezaji wawili tu,waamue kutoa bilioni 5 kila mmoja kwa mwaka kudhamini Simba,hiyo pesa haitoshi kujiendesha kwa mwaka mmoja?

Ifike mahali tuache kuidhoofisha timu kwa kutaka kupata umaarufu binafsi tu.

Ninachokiona ,kama Simba inaendeshwa kwa hasara,basi ni uzembe wa mwekezaji katika kuitumia Simba kufanya biashara.

Leo nasema huyu mwekezaji ana bidhaa zake zinaidhamini Simba,lakini hatumii watu wenye akili kumtangazia biashara zake kupitia Simba.

Azam wako vizuri kimkakati na ndio maana bidhaa zao zinapendwa sana.

Sasa hivi kwa kanda ya ziwa kuna kampuni ya Jambo wanakuja juu sana katika biashara ya vinywaji baridi,

Mo anatumia watu cheap,au anatumia vyeti vya watu badala ya kutumia akili za watu wafanye ubunifu kwa kuanzia logo hadi muonekano wa bidhaa zake.

Mabidhaa yake ninayoyajua,wametumia basic colors kuyapamba utadhani nyumba za vijijini zinavyopambwa na rangi za kukoleza. Hajui kuwa anahitaji wataalamu wanaoweza kukuwekea rangi kwenye bidhaa,ikamvutia mnunuzi kutumia bidhaa yako.

Aende Kenya kuwauliza sunlight wanatengenezaje sabuni zao za unga hadi zinatafutwa sana madukani na hazionekani.Sio unatutengenezea misabuni ya kufulia maturubai pekee.Huwezi kutoa na zile za kufulia nguo za maana zikiwa na franrance za maana?

Simba ni timu kubwa kamwe haiwezi kuleta hasara,isipokuwa mikakati ya kimenejerial ndiyo mibovu.Mfano ni ni pale kupata kadi ya Simba ni kama vile unaomba Visa ya Marekani.Hakuna matangazo ya wazi ni wapi zinauzwa,kwa bei gani.Hata jezi tu huku mikoani hazipo,na watu wako tayari hata kununua kwa sh. Elfu 50 mradi ziwe za vuwango.

Ukitaka kushusha kiwango ili watu wengi wanunue hii nayo ni mikakati ya kizembe. Hao utopolo kuna watu walitoka huku mikoani kwenda kununua jezi za yanga kuna walionunua kwa sh. Elfu 80 jezi moja.Ninawafahamu ni askari wa jeshi.

Leo mtu mmoja ana kaa mahali anatuaminisha eti Simba ina hasara?Kivipi?
Kwani yule jamaa aliyesema Yanga inaendeshwa kwa hasara na hawapati faidi alikosea?
 
Kwanza utofautishe kati ya mwekezaji na mdhamini, hii kitu inawachanganya sana watu wengi na unakuta wanaandika makala ndefu ndefu kumbe hazina kitu. Kukusaidia tu ni kwamba mwekezaji ni sehemu ya wamiliki, sio mtu wa nje, kampuni ikipata faida naye ana sehemu yake ya faida, ikipata hasara naye ana sehemu yake ya hiyo hasara. Mdhamini anakuja kutoka nje, si sehemu ya kampuni. Yeye anaangalia kampuni yake inayotoa udhamini, faida au hasara ya kampuni inayodhaminiwa wala haimuhusu

Pili, nitajie mdhamini gani atatoa bilioni 5 kwa mwaka kwa timu moja. Nimesisitiza neno 'kwa mwaka' ili likuingie vizuri kichwani na likufanye utafakari zaidi. AzamTV udhamini wake kwa Yanga ni miaka 10, maana yake amewapa Yanga hela na wao wamepoteza haki juu ya content zao katika matangazo ya TV kuanzia mazoezi hadi mechi za kirafiki, za timu zote za wanawake, vijana na wanaume. NBC imetoa udhamini wa miaka mitatu kwa TFF, sh. 2.5B. GSM ilitoa udhamini wa miaka miwili kwa TFF, 2.1B (tena kwa timu 16, ndio maana ukasikia timu zinapata milioni 3 kwa mwezi). Sasa sijajua huyo mdhamini wa 5B kwa mwaka atatoka wapi! Tuache kupiga mahesabu yasiyo na uhalisia, na yasiyo na ukweli. Hiyo 20B ya Mo siiweki hapa kwenye udhamini maana nitakuwa kama wewe, yaani kuleta hela za uwekezaji kwenye dhana ya udhamini
Unapo sema Yanga wamepoteza una maana gani? Ina maana hio 40B ni kupoteza?
 
Mo akisema Simba inajiendesha Kwa hasara jf Waga inajaa thread za Kila aina hasa za kejeri juu yake

ila aliposema Injinia Hersi saidi Kuwa yanga inajiendesha Kwa hasara na GSM wanatoa hela zao mfukoni ili kuendesha shughuri za club ya Yanga wala jf haikuchafuka thread za kumsema Injinia kama vile ambavyo husakamwa Mo

Mwisho wa siku unakuja kuona kuwa kuna kundi kubwa la watu ambao wanamchukia tu Mo bila sababu za msingi, wao husubiri aongee Kisha wachomoe vimaneno kadhaa waanze kejeri zao

ila kiuhalisia hivi vilabu vyote kuviendesha ni hasara tupu inakuhitaji utangulize mapenzi mbele na biashara nyuma lasivyo mdhamini hawezi kudumu ata mwaka mmoja, wapigaji wengi na watu ambao wanazihujumu hizi team ili waendelee kupiga pesa

washabiki wa hizi team wamejaa unafki tu, hawalipi hela za uanachama Kila mwaka lazima uskie campaign ya kuandikisha wanachama,kununua jezi original wachache sana wengi kelele tu na majezi feki,kuingia viwanjani Kwa idadi kubwa hadi kwenye matamasha yao au mechi za mikoani ambapo huwa ni hela za wenyeji wa mchezo
 
Mkuu hivi kuna mfanyabiasha anaweza ku run biashara ya hasara miaka yote hio? kwamba anapata hasara na bado akaongeza 20 plus 2B ya kujenga uwanja jaribu kutafakari hapo
 
Unapo sema Yanga wamepoteza una maana gani? Ina maana hio 40B ni kupoteza?
Ndio maana nikasema haya mambo kuyaandikia makala ndefu ndefu bila ya kuwa na uelewa utajikuta waelewa wanakuchora tu. Yanga ameuza haki zote za matangazo yake, na kwa lugha nyingine amepoteza haki aliyokuwa nayo kabla hajauza. Hawezi kuizuia AzamTV kwenda mazoezini kuchukua video, hawezi kuizuia AzamTV kwenda kambini kuchukua video, na hawezi kuizuia AzamTV kuchukua video kwenye mechi za kirafiki au matamasha ya Yanga kama Wiki ya Wananchi, na hawezi pia kuingia udhamini na mdhamini mwingine yeyote ambaye atafanya kazi kama inayofanya AzamTV. Huko ndiko kupoteza haki
 
...ila kiuhalisia hivi vilabu vyote kuviendesha ni hasara tupu inakuhitaji utangulize mapenzi mbele na biashara nyuma lasivyo mdhamini hawezi kudumu ata mwaka mmoja, ...
Watu wanashindwa nini sijui kuielewa kauli ya MO. Kuendesha vilabu kwa faida inabidi uvuke level ya Tanzania, kuanzia michuano hadi wadhamini. Ndio maana timu zinazofika walau nusu fainali ya ligi ya mabingwa wa Afrika kwa miaka kadhaa mfululizo, ndizo angalau zinapata hela ya kuanza kuifikiria faida maana kuna hela za CAF. Wewe fikiria timu imeenda Morocco kucheza na ikatolewa raundi ya awali, hiyo ni faida au hasara? Ndio maana Biashara FC wakaona heri wasiende kucheza mechi ya marudiano, pamoja na kwamba walishinda mechi ya awali
 
Mkuu hivi kuna mfanyabiasha anaweza ku run biashara ya hasara miaka yote hio? kwamba anapata hasara na bado akaongeza 20 plus 2B ya kujenga uwanja jaribu kutafakari hapo
Inawezekana mkuu mbona rahisi tu ila inategemea wewe una fedha kiasi Gani ili Kufanya hivo maana km una hela za mawazo utaishia kufirisika, wakati mwarabu wa man city anaichukua ile club alikuwa hapati faida yoyote na alikuwa ananunua wachezaji wenye Majina makubwa Kwa hela nyingi ili kuipandisha Thamani team

Akaanza kulipa mishahara mikubwa,akaanza kuajiri makocha wakubwa ambao wanalipwa pesa ndefu na anavunja mikataba yao na club haishindi makombe yoyote Kwa wakati huo, kumbuka hakuna Kombe ambalo ukishinda basi linafidia gharama za uendeshaji wa club, Kombe ni kuongeza Thamani tu ya club ila hayana faida kifedha, Faida ya club ya mpira ipo kwenye mikataba ya makampuni na kidogo kuuza wachezaji

Kwa wafanya biashara waliofanikiwa kama Mo ata Sio ajabu maana anaijua vizuri biashara ya kuwekeza, lazima yeye ana Target yake Kwa miaka kadhaaa mbele ndio anaona Simba itakuja kumlipa vipi, Kwa sasa yeye anaandaa mazingira tu ili aje kufanya biashara Kwa urahisi huko badae, Kwa sasa Angalau Simba inapata vihela vya usajiri kutoka CAF kutokana na kufika mbali kidogo hii misimu kadhaa, ila ikiwa constant Kila msimu basi wanaweza ata kufanya project ndogo ndogo

Ukiacha biashara ila familia ya Dewji haijaanza Leo kujitolea Kwa Simba sababu ya mapenzi yao tangu Babu yake na Mo kafatia baba yake Mo na Sasa Mo mwenyewe, na Mo kashafanya kazi na Simba Kwa nyakati tofauti tofauti na kuachana nao kila alipotaka kubadiri mfumo wa uendeshwaji alikuwa anaundiwa zengwe then wanamtimua maana wanaona ulaji wao utapotea kama Simba itaenda Kuwa kampuni

Kinachotokea hivi sasa ni kwamba mwanzo ilikuwa ni kujitolea tu ila Kwa sasa ndio wanataka watoke kwenye mfumo wa hisani kuja mfumo wa biashara, kwahiyo faida ya Mo ipo njiani inakuja ila Kwa sasa kusema eti anapata Faida sidhani kama ni kweli, Simba haina uwezo wa kuingiza 5b per season ukitoa na gharama za uendeshaji

Kuna kitu watu hatuelewi, anachomaanisha Mo ni kwamba, kama wewe umefungua biashara Kwa mtaji wa 20M basi hadi pale hiyo biashara itakapoingiza faida ya 20M ndio unasema inajiendesha kwa Faida, na sio kwamba ukiuza bidhaa Tsh 5000 ambayo wewe umeinunua 4000 na kupata faida ya 1000 ndio useme unajiendesha Kwa faida haiko hivo maana hapo unatoa hela ya kula,kulipa wafanyakazi,kulipa umeme nk
 
Ndio maana nikasema haya mambo kuyaandikia makala ndefu ndefu bila ya kuwa na uelewa utajikuta waelewa wanakuchora tu. Yanga ameuza haki zote za matangazo yake, na kwa lugha nyingine amepoteza haki aliyokuwa nayo kabla hajauza. Hawezi kuizuia AzamTV kwenda mazoezini kuchukua video, hawezi kuizuia AzamTV kwenda kambini kuchukua video, na hawezi kuizuia AzamTV kuchukua video kwenye mechi za kirafiki au matamasha ya Yanga kama Wiki ya Wananchi, na hawezi pia kuingia udhamini na mdhamini mwingine yeyote ambaye atafanya kazi kama inayofanya AzamTV. Huko ndiko kupoteza haki
Hio ni biashara ili upate lazima utoe wangepata wapi hio 40B bila kuuza bidhaa, AzamTV pia wanafanya biashara wameweka pesa wapate pesa sioni shida unapo sema wamepoteza nashindwa kuku elewa pia mkataba una terms and conditions sidhani kama Yanga na AzamTV hajui wanacho kifanya, finally hakuna segment AzamTV hua wanaonyesha mazoezi ya Yanga kama ipo nionyeshe
 
Utopolo akili huna, hizo kanga mama yako alishawai nunua
Unaulizia mauzo kwanini usiulizie mishahara? Ukitoa chama na luis ni mchezaji gani mwingine ameuzwa mpaka useme kuwa kunamapato yanatokana na uuzaji wa wachezaji
ulichonijibu ni akili, nimeanza kushabikia simba kabla hujazaliwa kama huamini njoo na mama yako atakwambia huyo uncle wako maana nimemfunua sana kabla hajakutana na baba yako
 
Mkuu ni rahisi sana kuongea kuliko kuweka vitu kwenye uhalisia, hakuna mtu yeyote au kampuni anaweza kuipa simba bilioni 5 kwa mwaka. Pili ni wanachama wachache mno wa kuweza kutoa 20k ya uanachama
Tatu .Tanzania hakuna mashabiki hao wakuweza kufanya hivyo.

Nne..mmpira wa bongo kiukweli haulipi..ndio maana pamoja na profile ya Simba Afrika kwa misimu minne iliyopoita imeshindwa hata kuzishawishi Kampuni kubwa za mavazi kama Puma tu wako hapo South Afrika kuja kuweka mpunga kufhamini jezi..mpaka Mo mwenyewe kaamua chukue tenda kupitia Vunja Bei ..

Muulizeni Zamunda navyotaabika na Afrika Lyoni yake..unless mpira wa Bongo uwe muuza unga...uutumie kusafirisha kete kwenda nnje kama kipindi kile cha manji.
 
Mudi janja Sana
Analalamika anapata hasara ila hajiengui.

Makolo ni majinga Sana hapa yapo kina Ghazwat Nyamizi, Na menzie bora hata mwenzao Scars tatizo lake mbishi wa hovyo.
 
November 5 mwaka jana kwenye mahojiano ya kipindi cha kipenga Extra cha East Africa Radio Engineer Hersi alinukuliwa akisema Yanga inajiendesha kwa hasara

Nanukuu maneno yake

'Timu hizi zinajiendesha kwa hasara kwa miaka mingi ndio maana zimekwama. Ukisema hivi mtu anaweza asikuelewe lakini ukitazama mapato ya klabu na matumizi ndio utajua kwanini zinajiendesha kwa hasara''

Hayo ni maneno ya Hersi, kwa hiyo mtu wa kwanza kabisa kumuita janja mi nadhani ungeanza na Hersi
 
Injinia sio mwanahisa yanga, mudi ndiye? Injinia sio Raisi wa heshima yanga mudi ndiye.
Injinia sio mdhamini wa yanga mudi ndiye,..

Sasa mudi anaposema haya na injinia anaposema inakuwa ni watu wawili tofauti MO kama mdhamini na analipa mishahara ya team na injinia ni mfanyakazi tu GSM pia yupo kamati ya usajiri basi..

Mudi ni jizi Sana.
 
Back
Top Bottom