Hivi mnajua kuwa kuna 'Moto' mkubwa unaendelea huko katika Uchaguzi Mkuu wa Uenyekiti wa Bodi ya Ligi TFF?

Ndio maana hakuna maendeleo ya moira nchi hii, hao wote watatu hawafai.

Ndio sasa nimewaelewa Wakenya kwa nini ligi yao huko nyuma walifikia kuikabidhi kampuni binafsi ndio iendeshe ligi, sasa nimewaelewa logic yao.
 
Sasa hao wakenya mkuu unaowasifu walitumia logic ligi yao ina mafanikio gani kiasi ya sisi Tanzania tujifunze toka kwao?
 
Mzee Mguto anaonekana akili yake imechoka, mara nyingi nikimsikiliza kwenye interviews mbalimbali huwa siridhishwi na majibu yake kwenye mambo mengi yanayohusu mpira wetu, yule mzee amepitwa na wakati apumzike tu, sioni sababu kuwaogopa hao wa Simba SC au Yanga SC, kwani wataongozwa na sheria kwenye majukumu yao.
 
huyo mguto hakwenda gaborone kweli? chaguzi zenye za TFF zina kanuni za kuzuia wengine kushiriki au kushinda
 
Ndio maana hakuna maendeleo ya moira nchi hii, hao wote watatu hawafai.

Ndio sasa nimewaelewa Wakenya kwa nini ligi yao huko nyuma walifikia kuikabidhi kampuni binafsi ndio iendeshe ligi, sasa nimewaelewa logic yao.
Hatuwezi kujifunza kwa kenya maan mpira wao uko chini kwa mambo yao ya kijinga hadi sasa ligi yao inaukata sijui tuige nini huko
 
Back
Top Bottom