Hivi Mnajua Kocha wa Zambia Herve Renard aliomba Kuifundisha Taifa Stars - TFF Wakamkataa!!!

poulsen katufikisha kwenye michuano ya kufuzu kombe la Africa na Dunia, huyo wa Zambia kawafikisha Fainali ya Africa na wakachukua ubingwa!
 
wakuu................ msiwalaumu TFF hata kidogo, ...................wao waliweka vigezo na wakavitumia kumchagua kocha............... kama wasingezingatia vigezo, basi, hapo ndipo wangestahili lawama...................

mi naona tatizo liko kwenye vigezo zaidi................... karibu kila mahali kuna vigezo hutumika kuwaengua wanaoweza na kuchagua "wenye uzoefu" na vyeti bila kujali kama wanaweza............... niliwahi kusikia kwenye chuo kimoja cha umma mwaka 2005 au 2006 wanafunzi waligoma kufundishwa OB na lecturer wakitaka wafundishwe na tutorial assistant!!.............. sababu zao ni kuwa kwa uhalisia, yule TA alikuwa anaijua OB na kuweza kuifundfisha kumpita yule lecturer waliyepewa kwa mbali sana............. ikabidi vijana wakomae na uongozi hadi kieleweke...................

so waweza kukuta huyo kocha alikiuwa sawa na TA kwa huyu pulsen (lecturer) .................. lakini performance yake ndo hivyo tena wakuu............. tuangalieni sana vigezo vya selection kama vyote vina mashiko, hasa vile vya "uzoefu"...........................
 
Tatizo la Tanzania ni wachezaji si kocha. Wachezaji hawafundishiki hawana malengo wala nia ya kujifunza ili waje kuwa maprofessional wakishafika simba au yanga ndo mwisho wa reli.
 
Wachezaji wa Tanzania hawana malengo, wanalewa sifa za kijinga, wanasahau kinachofanya wawe pale, ni mambumbumbu.
Viongozi wa soka Tanzania, hawana vision, hawashauriki, wapo pale kwa interest zao

Ni ndto tanzania kushiriki mashindano yoyote ya kimataifa, hata tukienda ni ndoto kufika hata robo final achilia mbali kuchukua kombe
 
siasa mbovu. wachezaji kuendekeza umalaya, ulevi. wachezaji wengi ni ngumbaro hawafundishiki. siasa kuwekwa mstari wa mbele. kutokuwa na viongozi wa soka wenye utashi wa kweli kuendeleza soka tz kuanzia vilabuni hadi TFF had wizara inayohusika etc....hata mlete kocha kutoka Arsenal au Real Madrid, Man U, Chelsea, Inter, Ac milan....hakutakuwa mabadiliko yoyote.

Kwanza wachezaji wengi tz bila bangi hawawezi kuuona hata mpira na kuwa na nguvu za hata kunyenyua miguu kukimbia
 
Hivi kwa nini Mnasumbua kichwa?

Nchi ya Wachawi toka lini ikawa na maendeleo kila tiku hovyohovyo tu.

We ushaona wapi nchi inaungana kwa KUCHANGANYA UDONGO? Kama si uchawi ni nini halafu mnatarajia maendeleo, nyie?
 
Katika kumtafuta mrithi wa Marcio Maximo Kocha wa Zambia Herve Renard aliomba kuifundisha Taifa Stars lakini TFF wakasema hakidhi vigezo (hana qualification), ikabidi wamuajiri Poulsen. Tujiulize, je huyu Poulsen katufikisha wapi na huyu Herve Renard "the chosen one" au Mourinho wa Africa amewafikisha wapi Chipolopolo? Nawasilisha.

MIZIMU YA WAZAMBIA NDIO IMEWAPA KOMBE!! Mpira haupo Tz!
 
Huyo kocha asingewasaidia kitu!

Mrudisheni Maximo mumpe under 17 (Ya ukweli sio vijeba) halafu muombe ku host kombe la africa after 7 years hivi
 
mpira utaendelea saa ngapi ..wachezaji bange tupu..tenga ndo huyo tunagombania vyumba huku NAMNAN leo valentine,,rais wa nchi hata kukimbia mita moja hawezi kutwa miguu inakosa nguvu anaanguka...waziri wa michezo hata danadana mbili hafikishi kupiga...sasa mnataka soka liendelee kivipi??? sisi tunaweza kucheza ngoma na mashindano ya kucheza vibao kata...mengine tuachie watu walio serious ...
 
Tatizo laTanzania sio kocha bali mfumo tulio nao sio wakutengeneza teaminayoweza kuleta ushindani kokote mfumo wetu unaruhusu wahuni kuingia katika team kubwa na hatimae taifa sasa leo Bongo hata akija Mourinho bado tutakuwa kichwa cha mwendawazimu

Ndio sababu ya kumtafuta mwalimu ayaweke sawa yooote! Au!
 
Tatizo laTanzania sio kocha bali mfumo tulio nao sio wakutengeneza teaminayoweza kuleta ushindani kokote mfumo wetu unaruhusu wahuni kuingia katika team kubwa na hatimae taifa sasa leo Bongo hata akija Mourinho bado tutakuwa kichwa cha mwendawazimu

Ni kweli hasa,pia hatuna utaratibu mzuri wa kukuza vipaji chipukizi,we need to change from the bottom
 
Tanzania hatuwezi fika mbali kisoka sababu 10% na undungunaizeshe wa TFF, tulikuwa na kikosi kizuri kile cha copa coca cola kile kikosi kisingevunjwa tungekuwa zaidi ya chipolopolo.

Pili tujue ni jinsigani ya kuiandaa timu ya taifa, kipindi kile 1993 baada ya wachezaji wote kupoteza maisha wakati huo KK aliunda timu ya vijana akawapeleka brazili, akajitoa kwenye mashindano yote ya kimataifa akaisuka timu taratibu bila haraka ndipo wakapata hiki kikosi walianza kufundishwa zamani wakiwa bado kinda sasa wamekomaa kazi yao imeonekana wazi.

Tukitaka kufika walipo Zambia inabidi tutafute makinda tuwape mafunzo ya uhakika taratibu bila haraka nasi tutafikia walipo Zambia ama hata zaidi ya Zambia, tuache ubabaishaji na undugunaizesheni, ushkaji na mambo ya 10% tutafika mbali.
 
2mekataa dhahabu,almas na tanzanite 2mekubal mawe ya bara2ni na kokoto za jangwani!Fool n rubbish country, TANZANIAAAAA................!

ndugu hv kwel we n mtanzania? Nina wacwac na uraia wako haiwezekan mtu timamu kuitukana nchi yako bila na ukasahau kuwa ww ni raia wa tanzania huo ni umaskin wa mawazo ungeonekana 'timamu' badala ya kukandia kiac hich ukatoa maon ya nn kifanyike il na cc tupige hatua kama wengine. Kumbuka kuwa huu ni mtandao wa kijamii mtu yeyote ana access akiwa sehem yeyote ile ulimwengun fikiria mtu aliyeko kenya post yako inayoonesha kujidharau mwenyewe unategemea yey atakuheshim..... Think BIG
 
Tatizo laTanzania sio kocha bali mfumo tulio nao sio wakutengeneza teaminayoweza kuleta ushindani kokote mfumo wetu unaruhusu wahuni kuingia katika team kubwa na hatimae taifa sasa leo Bongo hata akija Mourinho bado tutakuwa kichwa cha mwendawazimu

sema "nitakuwa" na sio "tutakuwa" kichwa cha mwendawazim. Hiv unafikiria nn kujiita mwendawazim ok inshort si wote wendawazim labda mpo baadh wendawazin stop understimated yourself
 
Katika kumtafuta mrithi wa Marcio Maximo Kocha wa Zambia Herve Renard aliomba kuifundisha Taifa Stars lakini TFF wakasema hakidhi vigezo (hana qualification), ikabidi wamuajiri Poulsen. Tujiulize, je huyu Poulsen katufikisha wapi na huyu Herve Renard "the chosen one" au Mourinho wa Africa amewafikisha wapi Chipolopolo? Nawasilisha.

wala hiyo sio sababu,tatizo ni misingi mibovu ya kuwaandaa vijana wetu tu,angeweza kuja huyo hapa na huyu wetu kwenda kule na zmbia wangefanya vizuri sisi tungefanya vibaya...

tuwaandae vijana wetu mapema tu hakuna uchawi utakaoletwa na kocha kama hatuna wachezaji walioandaliwa,tuache kukazania wazee hawa kina kaseja,wameshachoka,tuwaandae wale vijana wa timu zetu za vijana,wapate nafasi za kufanya majaribio na mafunzo nje ya nchi ulaya amerika n.k.tukipate hizo chances tusirudie ule u.p.u.u.z.i wa kuwapeleka kina mwaikimba brazil kipindi kile badala ya kuwapeleka kina Ngasa ambao walikua ndio wadogo wakati ule..

Wakati tunayafanya hayo hayo tuwe tumejitoa kabisa kwenye mashinadano ya kimataifa kwa at least miaka mitatu,sanasana tuwe tunashiriki challenge tu tena kwa kupeleka hizo timu za vijana na pia timu ambayo sasa ndio tunaiandaa kuvaa viatu vyetu after hiyo miaka miwili ipige mechi za kirafiki tena sio pale temeke nje ya bongo na nchi zinazoeleweka sio kenya wala uganda isafiri mara kadhaa west africa,central africa na ulaya kucheza mechi za kirafiki zisizopungua 80!

Baada ya hapo ipelekeni kwenye mashindano yeyote nba kocha yeyote hata jamhuri kihwelo muone na dio mtaamini kumbe dawa ya moto sio moto bali ni maji.

Nawasilisha.
 
U-ccm ndio umetumaliza kila idara hapa nchini. utakuta hata kocha anachukuliwa toka nchi wahisani kwani ata kama hajui lolte ili wahisani hao warudishe pesa kupitia mlango wanyuma.atalipwa pesa nyingi mwisho wa siku ataondoka kama alivyokuja na pesa kibao
Du kali hiyo tena CCM hata Tenga naye kaleta mambo ya chama kweli akinya Bata kaharisha ila kuku kanya je tanzania tungeshinda mngesema chama gani?
 
Du kali hiyo tena CCM hata Tenga naye kaleta mambo ya chama kweli akinya Bata kaharisha ila kuku kanya je tanzania tungeshinda mngesema chama gani?

tatizo wabongo kila kitu tunachanganya na siasa,huyo Tenga chadema kufa mtu toka enzi za mtei na ndio waanzilishi wa hiko chama chenu...
 
Back
Top Bottom