Hivi mmesahau kuwa genge lenu lilichafua CCM na kiongozi aliyefariki akainusuru CCM uchaguzi wa mwaka 2015

Kuna wale waliounda mashambulizi Twitter. Leo hii baada ya kupewa seat serikalini, wamewaambia vijana wao wapige u turn ya fasta! Nchi hii . Hii nchi pengine ina laana kwa kweli.
 
Mbona hujaweka kashfa ya uuzaji wa Nyumba za serikali chini ya mtukufu mwendazake ?
Kanda nyo nyonyo wanadeka sana. Na utadhani wamelelewa na bibi maana kwao hakuna makosa ila wanaona makosa kwa wengine na muda wote wanaonewa.

Yaani wakikuta changamoto wanahisi mwendakuzimu angekuwepo angesadia kuitatua
 
Acha kumsifia dhalimu kwa sifa ambazo hakuwa nazo. Kipindi chake aliigeuza ccm kuwa kikundi cha dola, na wala ccm haikuwahi kushinda kipindi chake. Chaguzi nyingi chini yake, zilikuwa za kihayawani na kishenzi kupita maelezo. Watu walitekwa, kuuwawa na hata kupotea. Usidhani hatujui ukweli huo. Kwa sasa kundi la walaji wa Msoga line wanarudi kwa kasi, huku sukuma gang mkiugulia maumivu na ukatili wenu. Kafieni mbali.
ichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda.

Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.

Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.

Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
 
Acha kumsifia dhalimu kwa sifa ambazo hakuwa nazo. Kipindi chake aliigeuza ccm kuwa kikundi cha dola, na wala ccm haikuwahi kushinda kipindi chake. Chaguzi nyingi chini yake, zilikuwa za kihayawani na kishenzi kupita maelezo. Watu walitekwa, kuuwawa na hata kupotea. Usidhani hatujui ukweli huo. Kwa sasa kundi la walaji wa Msoga line wanarudi kwa kasi, huku sukuma gang mkiugulia maumivu na ukatili wenu. Kafieni mbali.
Pliz naomba tuheshimiane, mimi sio sukuma gang. Wewe unachuki na JPM (RIP) sababu ulipoteza uchaguzi. Lakini juu ya kuibiwa kura huna ushahidi wa kutosha. Msoga line waliichafua Ccm na JPM alijitahidi kuisafisha hili halina ubishi.
 
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda.

Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.

Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.

Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Mtalia lia mpaka lini bila kuja suluhu ya kudumu? Haya tufanyeje Sasa maana naomba majambazi mnapokezana ulaji, majambazi mnatuhumiana
 
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda.

Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.

Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.

Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Huyo mnaedai aliiokoa ccm kama sio vita vya ndani na kubebwa angepita? Kuna mpinzani ndani na nje ya ccm alikuwa anamshinda Lowassa?

Huyo alipata Urais Ili kuweka Kwa sababu za Kambi za ndani ya chama
 
Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda.

Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.

Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.

Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Mbina hizi pesa zote za wizi ndizo zilizonunua uchaguzi wa kumwingiza mwendazake madarakani?
Hapajawahi tokea uchaguzi uliotumia fungu kubwa la fedha kama wa mwaka 2015.
 
Kwani kipindi cha dhalimu ccm ilikuwa safi? Sijawahi hata kugombea uchaguzi wa mtaa, hapo napoteza vipi? Ushahidi kuwa chaguzi chini ya dhalimu zilikuwa za kishenzi na kihayawani, ninao ushahidi wa zaidi ya 100%. Dhalimu aliisafisha ccm, au aliwatoa msoga line na kuwaingiza nyie sukuma gang kwenye mlo?
z naomba tuheshimiane, mimi sio sukuma gang. Wewe unachuki na JPM (RIP) sababu ulipoteza uchaguzi. Lakini juu ya kuibiwa kura huna ushahidi wa kutosha. Msoga line waliichafua Ccm na JPM alijitahidi kuisafisha hili halina ubishi.
 
Back
Top Bottom