Hivi mlitaka chadema wampambe lowasa akiwa huko CCM.

Kisigino cha Funza

Senior Member
Jun 30, 2015
151
68
Mimi nashangaa wanao iponda cdm kwa tetesi za lowasa kuja cdm, mlitaka makamanda WA chadema wampambe sio? Hebu tuambieni kinacho wauma sana.
 
Katika siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Milango ipo wazi kwa wote watakao kuingia hata kama jana walikuwa maadui> Wakiingia watakuwa marafiki wapendwa! Karibuni!!!!!!
 
Back
Top Bottom