Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Jana kwenye hotuba ya Rais Magufuli aliposema atampa jaji Bilioni 12.5 ndani ya siku 5 ili aweze kuhukumu baadhi ya kesi na kisha akukumbushia kuhusu kesi za wakwepa kodi zinazofikia trilion moja na kumwambia katibu mkuu kuwa ndo faida ya kuwa Rais, Mlinzi wa Magufuli yule mjeshi alitaka kucheka kwa nguvu ila akauma uma midomo kubana kicheko.....lile jamaa jingine lilibaki limenuna balaa.......hiyo ilitokea dakika ya 41:30
Nisaidieni maana humu jukwaani kuna kila fani.