Hivi mkwere ana mvi ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mkwere ana mvi ...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Feb 24, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani wapendwa ninavyojua kuwa dalili za uwepo wa mvi ktk kichwa kinachangia kuwepo na chembechembe za busara hata robo,hoja yangu ni kuhusu kiwete hv anazo mvi au vipi?mbna kichwani ni nywele nyeusi si kama el,napata kuamini kuwa kukosekana kwa mvi ktk kichwa chake kinaondoa hali ya kuwa na busara ktk maamuzi yake,wapendwa naomba mnisaidie mkwere-kiwete anazo mvi kweli au ni vipi?au ni mie ndo sijui kuwa uwepo wa mvi ni kipimo cha hekima na busara.,
   
Loading...