Hivi idara ya uhamiaji njombe imelala au hakuna ofisi ,maana hatuoni hata wakifanya doria hasa huku kwenye mashamba ya miti ,kuna RAIA wa Kenya kibao , wachina na wahindi wanafanya biashara ya mbao sidhani kama wana vibali husika , mh waziri mambo ya ndani hebu mulika idara uhamiaji njombe yaani hawafanyi kazi kabisa , huyo bosi wao wa mkoa atakuwa jipu.