Hivi Mke/Mume ni Ndugu au sio Ndugu..?!

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,739
2,241
Habari wajuzi wa mambo wanajukwaa, ama hakika elimu bahari huwezi yote kujua, Binafsi huwa sielewi juu ya jambo hili, Kama Mke au mume ni ndugu au sio ndugu wengine wanasema ni rafiki sio Ndugu. Ukweli ni upi hasa!
 
Hapo Inategemea na mnavyoishi, anaweza kuwa ndugu kama mnaheshikiana na kupendana ila anaweza kuwa Rafiki kama hamjaliani na kutokupendana.
Swali kwako, wewe kama unamke au mume umemchuliaje? ni ndugu au Rafiki yako kisha tuambie kwanini.
 
Naikumbukaga hii mada kwenye malumbano ya hoja ITV miaka ya 90 aisee moto uliwaka kwelikweli yalikua malumbano haswa
 
Ni mke na mume si ndugu, ndugu hawavuani picchu.

Habari wajuzi wa mambo wanajukwaa, ama hakika elimu bahari huwezi yote kujua, Binafsi huwa sielewi juu ya jambo hili, Kama Mke au mume ni ndugu au sio ndugu wengine wanasema ni rafiki sio Ndugu. Ukweli ni upi hasa!
 
Hapo Inategemea na mnavyoishi, anaweza kuwa ndugu kama mnaheshikiana na kupendana ila anaweza kuwa Rafiki kama hamjaliani,
Swali kwako, wewe umemchuliaje wa kwako ni ndugu au Rafiki yako kisha tuambie kwanini?
Duu aliye elewa hapa naomba anisaidie
 
Ninavyo famamu Mimi Mke sio Ndugu maana kama ni undugu mbona unakufa tu pale mnapo achana!
 
Hamna undugu hapo.undugu unatokea kwa watoto wao. Ndugu yako huwezi mvulia nguo
Yeah huo inawezekana ukawa ndo ukweli fika.
Hapo Inategemea na mnavyoishi, anaweza kuwa ndugu kama mnaheshikiana na kupendana ila anaweza kuwa Rafiki kama hamjaliani na kutokupendana.
Swali kwako, wewe kama unamke au mume umemchuliaje? ni ndugu au Rafiki yako kisha tuambie kwanini.
 
Pale mnafanya undugu tu kwa muda ila mwanamke sio ndugu coz nitofauto na mdogo wako wa damu maana piga ua hamuwezi kutenganishwa kuwa ndugu.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom