Hivi Mke/Mume ni Ndugu au sio Ndugu..?!

Mke sio nduguyo hata mfanane sura,anytime anaweza kusepa akolewa na mtu mwingine nk! Hata watoto anaozaa sio ndugu zake, ni ndugu wa mume! Kwa ufupi mke ni rafiki wa mda tu na wakati huo huo ni adui yako.
 
ndugu huwa hawagombani wakanuniana milele lakini kwakuwa mke sio ndugu ni mara nyingi tuu tena inawezakana mume na mke...wakawa si ndugu maana wanaweza kugombana pasipo kupatana tena
 
Habari wajuzi wa mambo wanajukwaa, ama hakika elimu bahari huwezi yote kujua, Binafsi huwa sielewi juu ya jambo hili, Kama Mke au mume ni ndugu au sio ndugu wengine wanasema ni rafiki sio Ndugu. Ukweli ni upi hasa!
Kama neno ndugu unamaanisha mahusiano ya damu (kaka, dada, mjomba....) mke si ndugu ni rafiki tu ambaye kesho mkitofautiana mnaweza kutofautiana milele na wala msikumbukane tena
 
Back
Top Bottom