Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
Umefurahi nini etiHahahahaaa
Umefurahi nini etiHahahahaaa
Habari ni njema pia!.Nimefurahi tu Sakayo. Jumapili hii ni njema.
Habari yako?
Hahahahaa duhUkilipa unaweza kopa tena
Hahahaha
Hahahahaa mkachukue madeni yenuWafanya biashara tujadiliane ya kwetu baada ya watumishi kutelekeza jukwaa.
NdiwooooWajane tuu ndo wanadai eeh
Mie sio mjane ila nakudaiNdiwoooo
Hahahahahhaa.
Tunashukuru kwa Taarifa Mkuu.
Mwezi huu mapeeeeeema.
Umetoka.Hahahah...Daah! Huwezi amini, sijapata meseji hadi muda huu. Sijui hata kama umetoka ama laah!