Hivi Mipango inayotekelezwa sasa inatokana na ilani ya CCM au ahadi na matakwa ya JPM?!

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,784
12,227
Ningependa nifahamishwe kama ni mipango ipi inayotekelezwa. Ukisoma ilani na kufuatilia kinachotekelezwa kuna tofauti ya wazi kabisa! Baadhi ya miradi inayotekelezwa gharama ni kubwa mno kubebwa na wananchi kiasi kwamba ulipaji wake utalifanya Taifa kupoteza na kushindwa kusimamia rasilimali zake kwa kukopa mikopo isiyo stahimilika!

Tujisahihishe!!
 
Anatekeleza mawazo yake, kununua korosho kwa kutumia jeshi sijaiona hiyo ahadi huo ni mfano tu
 
Hii nchi hivi sasa inaendeshwa kwa ONE MAN SHOW

Hakuna cha ilani ya CCM wala Katiba ya nchi inayotekelezwa, Bali matakwa ya mtu mmoja pekee, ambaye ni Jiwe!
 
Hii nchi hivi sasa inaendeshwa kwa ONE MAN SHOW

Hakuna cha ilani ya CCM wala Katiba ya nchi inayotekelezwa, Bali matakwa ya mtu mmoja pekee, ambaye ni Jiwe!
Bila kuwa na mipango ya muda mfupi na mrefu kamwe hatuwezi kufahamu tumefika wapi na tunaenda wapi!
 
Back
Top Bottom