Hivi minimum qualification ya kusoma LLB pale Open University ni ngapi?

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,948
1,515
Wakuu,

Naomba kuuliza kwa mwaka huu wa masomo 2018/2019 minimum qualification kwa kozi ya LLB ni ufaulu upi?
 
Masiya nina Div 3 na point 13.

History=D

Geography=E

English=D

Hapo vipi?
Point 4 unazo na jumla una 5, naamini open unaweza kupata lakini pia unaweza kujaribu na vyuo vingine just in case ushindani wa open unakuwa mkubwa. Check admission guide ya TCU 2018 ujue ni vyuo vipi vinatoa LLB . Nafikiri SAUT wanatoa pia.
 
Back
Top Bottom