deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habari wadau hilo suala hua lina nichanganya kwani kuna radio mitambo inanguvu kubwa kuliko mingine mfano radio hizi radio one,RFA,radio maria nguvu zake ni kubwa,je nguvu ziko tofauti au nini kinasababisha radio nyingine nguvu ndogo? Kama ukubwa nijulishwe kubwa na ndogo watts av voltage ikoje wataalamu karibuni nijue hilo