Hivi minara(transmitter) ya radio iko tofauti kati ya radio na radio?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habari wadau hilo suala hua lina nichanganya kwani kuna radio mitambo inanguvu kubwa kuliko mingine mfano radio hizi radio one,RFA,radio maria nguvu zake ni kubwa,je nguvu ziko tofauti au nini kinasababisha radio nyingine nguvu ndogo? Kama ukubwa nijulishwe kubwa na ndogo watts av voltage ikoje wataalamu karibuni nijue hilo
 
Mitambo ya Radio kinachoipa nguvu ya kusafiri umbali mrefu ni Frequecy range na watts..Mfano Watts moja ya FM Frequecy inaruka kama KM 1 hivi.wakati ya HF watt moja inaenda umbali kidogo.
 
Nikama vile Kuna gari ya bei kubwa na bei ndogo yenye tofauti katika CC

Hivo Na transmitter zipo hivo hivo kulingana na budget yako na kampuni ambayo imetengeneza....

Unajua humo Kuna factors mbali na watts but Kuna issue za current flow nk
 
Habari wadau hilo suala hua lina nichanganya kwani kuna radio mitambo inanguvu kubwa kuliko mingine mfano radio hizi radio one,RFA,radio maria nguvu zake ni kubwa,je nguvu ziko tofauti au nini kinasababisha radio nyingine nguvu ndogo? Kama ukubwa nijulishwe kubwa na ndogo watts av voltage ikoje wataalamu karibuni nijue hilo

kuna somo linaitwa wave hapo utapata ufahamu mwingi kujua wave ina maana gani mpaka unaweza kusikia sauti,mwanga,rangi,mtikisiko,mawimbi ya usafirishaji kwa njia aina zote
wale pcm,pcb ,pgm aisee kitambo sana
 
Pia mbali na kuwa na transmita kubwa...kuna vigezo vya kibali cha redio
Inatakiwa iruke umbali gani ....so kama redio inaanza sidhani kama inaruhusiwa kusikika nchi mzima hadi wakidhi vigezo.....
Wanaanza na eneo dogo kwanza.....wanatanua kidogo dogo
 
Ipo hivi mzee

Unapokuwa na Redio yako lazima uwe na mipaka ya coverage. Hao unaowataja akina Radio free, radio wani na wengine wao wana leseni ya kufanya covering eneo kubwa.

Mfano. EFM hapa tanzania wapo mikoa haizidi 6. Je unamaanisha wana mitambo midogo???

La hasha. Bado hawana kibali cha kurusha matangazo maeneo mengine
 
Nikama vile Kuna gari ya bei kubwa na bei ndogo yenye tofauti katika CC

Hivo Na transmitter zipo hivo hivo kulingana na budget yako na kampuni ambayo imetengeneza....

Unajua humo Kuna factors mbali na watts but Kuna issue za current flow nk
Ahsante,hivi transmitter moja yenye nguvu gharama ni tsh ngapi makadirio?
 
Pia mbali na kuwa na transmita kubwa...kuna vigezo vya kibali cha redio
Inatakiwa iruke umbali gani ....so kama redio inaanza sidhani kama inaruhusiwa kusikika nchi mzima hadi wakidhi vigezo.....
Wanaanza na eneo dogo kwanza.....wanatanua kidogo dogo
Yaani wote ni mkoa mmoja ajabu. Nyingine zina nguvu kubwa sana nyingine sio hivyo kwanini?
 
Ipo hivi mzee

Unapokuwa na Redio yako lazima uwe na mipaka ya coverage. Hao unaowataja akina Radio free, radio wani na wengine wao wana leseni ya kufanya covering eneo kubwa.

Mfano. EFM hapa tanzania wapo mikoa haizidi 6. Je unamaanisha wana mitambo midogo???

La hasha. Bado hawana kibali cha kurusha matangazo maeneo mengine
Mfano huku mkoa niliko hata clouds FM na TBC wako bado hawafui dafu kwa hao niliotaja kwanini?
 
Ipo hivi mzee

Unapokuwa na Redio yako lazima uwe na mipaka ya coverage. Hao unaowataja akina Radio free, radio wani na wengine wao wana leseni ya kufanya covering eneo kubwa.

Mfano. EFM hapa tanzania wapo mikoa haizidi 6. Je unamaanisha wana mitambo midogo???

La hasha. Bado hawana kibali cha kurusha matangazo maeneo mengine
Mfano huko waliko fananisha na hizo radio bado utaona tofauti kubwa sasa sijajua shida iko wapi?
 
Ahsante,hivi transmitter moja yenye nguvu gharama ni tsh ngapi makadirio?
Inategemea na features za transmitter husika...

Mfano hii Ina cover radius ya 100km means from where transmitter iliko kila pande ya Dunia (N, E, S, W) ni 100km kwahiyo msikiliza (receiver iliyopo ndani ya range hiyo) ataweza kupata mawimbi...

Features zake
1 TFM-1000, 1KW solid state FM Transmitter
1 fm broadcast antenna

some of the features;
redundant modular design
transmitter certified by the FCC.
on board monitoring of all transmitter parameters
VSWR foldback/temperature protection
brute force, heavy duty power supply
frequency agile
stereo encoder
HD ready
two year warranty, covers defects in material and workmanship.
tech support and factory training

total price $9,600.00 usd (pesa ndogo tu)

Kuhusu ishu ya usikivu inategemea antenna gain na repeater gain....
 
Nimekuelewa vzr mtaalamu kwahiyo ishu ya pesa inawahusu wenye radio hapo,si mchezo kumbe ndivyo ilivyo
 
Weeee siyo mchezo tuwaachie RFA radio one basi wengine shida
Hahaha Sasa Hao mtaji wao ni mikubwa zaidi...
Hiyo 100 million ni redio hizi za mikoani tu yani inasikika ndani ya mkoa huo huo na maeneo mengine ndani ya mkoa haya sikiki kwasababu ya milima..
 
Back
Top Bottom