Hivi Millage ina matter?

Attachments

  • Tokyo_Metropolitan_Police_Department_Toyota_Crown_Patrol_Car_GRS214_rear.jpg
    Tokyo_Metropolitan_Police_Department_Toyota_Crown_Patrol_Car_GRS214_rear.jpg
    124.4 KB · Views: 35
  • images.jpg
    images.jpg
    23.7 KB · Views: 46
Ingine huwa zina life span yaani umri wa kuishi. Kwa magari yenye cc chini ya 1450, uhai wa ingine ni km 150,000. Kwa cc kubwa kuliko 1450 lakini chini ya cc 2000 uhai wa ingine ni km 200,000. Kwa ingine zenye cc zaidi ya 2000 uhai wake ni km 300,000. Je hilo gari unalotaka kununua lina cc ngapi? Kama lina cc zaidi ya 2000 basi lina maisha mpaka km 300,000.
ACHA UONGO KUNA STARLET TULINUNUA 2006, HADI 2017 IKAWA INASOMA KM 480,000 NA BADO INAPIGA KAZI HADI LEO, IPO SAFI KABISA NA INA CC 1300.
 
Hii post ni ya zamani lakini naona afadhali niitumiea tu kutahadhalisha umuhimu na maana ya wa milage kwenye gari.

Kwanza tulewe kuwa gari limetengezwa kwa vitu mbalimbali vinaavozunguka vikiwa vimeshikiliwa na bearings; mojawapo ya failure kubwa kwenye ni bearings bearingis hasa kwenye engine, na oil seals ambazo hufa pamoja na bearings. . Asilimia kubwa ya matatizo ya gari husababishwa na hizo bearings pamoja na hizo oil seals kuchoka baada ya kubeba mizunguko mingi sana. Mileage ni kipimo kizuri sana kuonyesha kuwa bearings hizo zimekwishatumikaje. Ukiona milage kubwa maana yake ni kuwa bearings na oil seals kwenye gari yako zimeshasagika sana. Hata kama gari lille lilikuwa linatumika kwenye highways, ambayo ni nzuri kuliko matumizi ya mjini kama taxi, bado injini itakuwa imeshalika sana. Na iwapo gari lile lilikuwa ni taxi ya mjini ndiyo basi tena.

Kuna siri ambayo hutainona kwenye gari lenye milage chache; kwa mfano, iwapo odometer ya gari inaoneya km 5,000 tu, lakini mwenye gari lile alikuwa akiamka asubuhi analiwasha na kukanyaga accelerator bila kuliendesha gari lenyewe mpaka mafuta yakaisha. Akienda kuongeza mafuta na kuridia mchezo ule ule, unaweza kukuta gari hilo la km 5,0000 tu lina bearings ambazo zimekwisha kufa ingawa lina milage ndogo sana. Ufaji wa aina hii ndio pia hutokea kwenye magari ya mjini kama taxi kwani kuna muda zinautumia bila kutembea barabarani lakini injini zikiwa zinafanya kazi, na hivyo bearings kuwa zinalika. Kama taxi tayari ina milage kubwa ,maana yake ni kuwa njini yake imashalika sana kuliko hata lile gari lilikuwa linapiga ruti za mbali tu.

kwa hiyo hata Mileage kubwa ni kipimo kizuri sana cha kuonyesha uchkavu wa injini ingawa pia mileage ndogo inaweza kuwa inaficha uchakavu wakati kweli injini imechakaa
 
Hii post ni ya zamani lakini naona afadhali niitumiea tu kutahadhalisha umuhimu na maana ya wa milage kwenye gari.

Kwanza tulewe kuwa gari limetengezwa kwa viyu mbalimbali vinaavozunguka vikiwa vimeshikiliwa na bearings; mojamba wake bearingis hasa kwenye engine, ni oil seals ambazo hufa pamoja na bearings. . Asilimia kubwa ya matatizo ya gari husababishwa na hizo bearings pamoja na hizo oile seals kuchoka baada ya kubebeba mizunguko mingi sana. Mileage ni kipimo kizuri sana kuonyesha kuwa bearings hizo zimekwishatumikaje. Ukiona milage kubwa maana yake ni kuwa bearings na oil seals kwenye gari yako zimeshasagika sana. Hata kama gari lille lilikuwa linatumika kwenye highways, ambayo ni nzuri kuliko matumizi ya mjini kama taxi, bado injini itakuwa imeshalika sana. Na iwapo gari lile lilikuwa ni taxi ya mjini ndiyo basi tena.

Kuna siri ambayo hutainona kwenye gari lenye milage chache; kwa mfano, iwapo odometer ya gari inaoneya km 5,000 tu, lakini mwenye gari lile alikuwa akiamka asubuhi analiwasha na kukunyaga accelerator bila kuliendesha gari lenyewe mpaka mafuta yakaisha. Akienda kuongeza mafuta na kuridia mchezo ule ule, unaweza kukuta gari hilo la km 5,0000 tu lina bearings ambazo zimekwisha kufa ingawa lina milage ndogo sana. Ufaji wa aina hii ndio pia hutokea kwenye magari ya mjini kama taxi kwani kuna muda zinautumia bila kutembea barabarani lakini injini zikiwa zinafanya kazi, na hivyo bearings kuwa zinalika. kama tax tayari ina milage kubwa ,maana yake ni kuwa njini yake imashalika sana kuliko hata lile gari lilikuwa linapiga ruti za mbali tu
Kimsingi mkuu hoja yako inajichanganya,unachojaribu kutuaminisha hapo kwenye maelezo yako ya juu na hitimisho havina miguu ya kusimamia
 
Sina haja ya kukuaminisha kwa vile sikuuzii gari, nilitaka kutahadharisha tu kuhusu hizo mileages. Kama hukuielewa uliza ulelezwe.Sehemu kubwa ya kuchoka kwa gari kunatokana na unjini kufanya kazi kwa muda mrefu. Injini inaweza kufanya kazi bila kutembea, hivyo inakuwa ni vigumu kwa mnunuaji kujua kama injini hiyo imekwisha fanya kazi sana; lakini gari ambayo imekwisha tembea umbali mrefu kwenye highways (bila kusimasimama) ni dhahirii kuwa injini yake itakuwa imekwishachoka. Na ile ambayo imetembea muda mrefu kwenye maeneo ya mjini (ikiwa inasimamasimama) ndiyo itakuwa inaunganisha hayo mawili yote hapo juu, yaani hiyo ndiyo imechoka zaidi.

Kuna watu wanadhani kwa vile ilikuwa ni taxi huko Tokyo hata kama ina mieage kubwa, bado itakuwa iko OK tu. Siyo kweli
 
Kwa wenzetu Japan, Ulaya ,Amerika na kwingineko mileage inamata...ila hapa nyumbani..mmmmh..acha kabisa...

Nina co-worker ana IST namba C ODO meter ina 85k KM....Imenunuliwa hapa hapa bongo...ni mbovu...haichanganyi..mara kwa mara garage..

Nina rafiki mwingine ana IST namba D kaagiza Japani..ODO ina 150k...gari ni safi..haina shida yoyote...ukigusa mafuta tu, gari imechanganya...

Ukweli mchungu ni kwamba wabongo wanachezea mileage za gari...
 
Tatizo sio wabongo gari kwa wenzetu used zipo za aina mbili, za high way mileage na za town trip mileages sasa kati ya hizi gari mbili ni bora uchukue yenye mileages kubwa iliopatikana on high way kuliko yenye mileages ndogo ya town trip, mfano kwa wenzetu unakuta MTU anaishi dar es salaam anafanya kazi chalinze ila kwakuwa njia ni nzuri huwa anaenda na kurudi kila siku kutokana na umbali huu odometer itapanda kwa haraka ila hii gari itakuwa ni bora kuliko lile linalozurula mjini likisambaza bidhaa
Maana hapa lipi
- litawashwa na kuzima Mara nyingi
- lipi gia box itakuwa under stress
- tear ya engine hutokea sana wakati wa kuwashwa gari maana gari unavyolizima lubricant hutuama, hivyo initial seconds vyuma husagana hadi oil itakapopanda juu
-je ni gari lipi litakuwa body linapata stress kutokana na kukanyagwa kwa break mara nyingi zaidi kati ya huyu wa high way na huyu wa town trip kwenye foleni
 
Hii post ni ya zamani lakini naona afadhali niitumiea tu kutahadhalisha umuhimu na maana ya wa milage kwenye gari.

Kwanza tulewe kuwa gari limetengezwa kwa viyu mbalimbali vinaavozunguka vikiwa vimeshikiliwa na bearings; mojamba wake bearingis hasa kwenye engine, ni oil seals ambazo hufa pamoja na bearings. . Asilimia kubwa ya matatizo ya gari husababishwa na hizo bearings pamoja na hizo oile seals kuchoka baada ya kubebeba mizunguko mingi sana. Mileage ni kipimo kizuri sana kuonyesha kuwa bearings hizo zimekwishatumikaje. Ukiona milage kubwa maana yake ni kuwa bearings na oil seals kwenye gari yako zimeshasagika sana. Hata kama gari lille lilikuwa linatumika kwenye highways, ambayo ni nzuri kuliko matumizi ya mjini kama taxi, bado injini itakuwa imeshalika sana. Na iwapo gari lile lilikuwa ni taxi ya mjini ndiyo basi tena.

Kuna siri ambayo hutainona kwenye gari lenye milage chache; kwa mfano, iwapo odometer ya gari inaoneya km 5,000 tu, lakini mwenye gari lile alikuwa akiamka asubuhi analiwasha na kukunyaga accelerator bila kuliendesha gari lenyewe mpaka mafuta yakaisha. Akienda kuongeza mafuta na kuridia mchezo ule ule, unaweza kukuta gari hilo la km 5,0000 tu lina bearings ambazo zimekwisha kufa ingawa lina milage ndogo sana. Ufaji wa aina hii ndio pia hutokea kwenye magari ya mjini kama taxi kwani kuna muda zinautumia bila kutembea barabarani lakini injini zikiwa zinafanya kazi, na hivyo bearings kuwa zinalika. kama tax tayari ina milage kubwa ,maana yake ni kuwa njini yake imashalika sana kuliko hata lile gari lilikuwa linapiga ruti za mbali tu
Mimi sio mtaalamu wa magar na pia ikumbukwe tu kuwa hapa fb ni. Kisima cha elimu.
Huwa ninashangaa sana mtu yoyote akiwa mjuvi wa mambo au anaelezea kitu fulani then akashindwa kutoa suluhisho ili kumalizia kazi yake nzuri ya kutoa elimu.

Nimefurahi kupata elimu hii ya magari, na pia hasa hasa kuhusu engine kuchoka na vitu muhimu ni engine na oil seal.

Nina swali, iwapo mtu kanunua gari na akafanya moja ya mambo yafuatayo :-
1: akanunua engine mpya japokuwa tunasema ni used from Japan na akaweka hasa hasa kwa magari madogo, je. Life span yake itaongezeka?
2: iwapo atanunua original engine seal, je life span ya gari itaongezeka?
3: vipo vitu vingine mtu akiamua kwenda mbali kutaka kuongeza life span ya gar mfano kununua half engine hasa hasa sehemu ya gearbox, kufanya matengenezo kama ya miguu kuanzia bearings, hub,, then kusafisha rejeta, engine oil mpya original, kuweka maji yake original, kusafisha air cleaner na mengineyo madogo madogo, je haiwez kuifanya gari kuwa katika kiwango cha sawa na mpya au kuwa katika Hali nzuri na kuiongezea life span yake?
Nb. Hapa namzungumzia magari madogo kama vitz, starlet, ist, vyenye engine isiyozidi cc 1490 na spear zake zipo kwa wingi na pia gharama zake ni affordable.
 
Kwanza tenganisha Engine na Gearbox kwa sa ababu hivyo ni vitu viwili tofauti. Kwa upande wa Injini, kwanza kuwa makini sana na hizo zinazoitwa injini mpya (used) kutoka Japan. Iwapo waling'oa injini kutoka kwenye gari ni kusafifisha peke yake, ina maana gari lilikuwa na hali mbaya sana lisingeuzika. Sasa inawezekana gari lilikuwa limehusika kwenye accident lingali jipya, hivyo utakuwa umepata kitu kizuri, vile vile inawezekana gari lilikwisha chakaa sana lisingekaa barabarani tena, hapo utakuwa na unanunua mbuzi ndani ya gunia. Kwa hiyo ukipata injini peke yake huwezi kujua ina hali gani; itategemea bahati yako tu.

Injini nyingi hufa kwa hivyo vitu vichache tu: oil seal, na bearings. Kuna post moja nimemjibu mtu aliyetaka kufanya engine overhaul, kuwa jitahidi pia ubadilishe Idler pulley, Tensioner pulley, AC/Clutch, Water Pump, na valve lifters (tappets). Injini itarudi upya kabisa na unaweza kuindesha km150,000 kabla haijalalamaika tena.

Kuhus Gearbox, mimi siyo mtaalamu sana wa upande huo, hasa zile gearbox automatic. Hata hivyo, itakusaidia sana iwapo utamwaga mafuta yote ya gearbox, ukabadilisha gearboix filter na kuweka mafuta mapya kiasi kinachotakiwa.
 
Mimi sio mtaalamu wa magar na pia ikumbukwe tu kuwa hapa fb ni. Kisima cha elimu.
Huwa ninashangaa sana mtu yoyote akiwa mjuvi wa mambo au anaelezea kitu fulani then akashindwa kutoa suluhisho ili kumalizia kazi yake nzuri ya kutoa elimu.

Nimefurahi kupata elimu hii ya magari, na pia hasa hasa kuhusu engine kuchoka na vitu muhimu ni engine na oil seal.

Nina swali, iwapo mtu kanunua gari na akafanya moja ya mambo yafuatayo :-
1: akanunua engine mpya japokuwa tunasema ni used from Japan na akaweka hasa hasa kwa magari madogo, je. Life span yake itaongezeka?
2: iwapo atanunua original engine seal, je life span ya gari itaongezeka?
3: vipo vitu vingine mtu akiamua kwenda mbali kutaka kuongeza life span ya gar mfano kununua half engine hasa hasa sehemu ya gearbox, kufanya matengenezo kama ya miguu kuanzia bearings, hub,, then kusafisha rejeta, engine oil mpya original, kuweka maji yake original, kusafisha air cleaner na mengineyo madogo madogo, je haiwez kuifanya gari kuwa katika kiwango cha sawa na mpya au kuwa katika Hali nzuri na kuiongezea life span yake?
Nb. Hapa namzungumzia magari madogo kama vitz, starlet, ist, vyenye engine isiyozidi cc 1490 na spear zake zipo kwa wingi na pia gharama zake ni affordable.
Mdau wa post #39 amejibu vizuri sana...
..me nikusahihishe kidooogo..hapa ni JF na siyo FB..karibu sana.
 
Back
Top Bottom