Hivi mikusanyiko ya harusi imeruhusiwa huko nyumbani?

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
228
210
Hi everyone in here.

I hope mnaendelea vyema ndugu zangu Watanzania.

Naomba kuuliza kama mikusanyiko ya harusi imeruhusiwa. Huku Wales bado kuruhusiwa kujumuika na wapendwa katika sherehe.

Natamani sana harusi yangu ifanyike nyumbani Tanzania maana huko ndio kitovu changu kilizikwa.

Najua marafiki zangu wa Ulaya, Asia na Marekani baadhi yao hawatakuwa nami ila lazima nifanyie nyumbani kwanza, then baadae Gabon kwao mpenzi wangu. Tutamalizia Wales, (marafiki zangu wa Asia na Amerika mtanisamehe).

Natanguliza shukurani zangu kwenu.

Jambo Tanzania.
 
Hivi EPL inaendelea huko England?

Mimi nipo huku Jupita natamani sana kuja huko Duniani.
 
Wales street gani nikucheki nijumuike panapo majaliwa 😀😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom