Hivi mikate ya mahindi(corn bread) inapikwaje?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,887
Eti wandugu hii kitu inapikwaje? Nasikiaga tu kuwa ni chakula maarufu kwa wamarekani weusi, asili yake ikiwa wahindi wekundu. Inapikwaje?
 
Unga wake unaitwa corn flour huwa unakuwa kwenye vibox vidogo, vipimo unaweka kama unavyoweka kwenye unga wa ngano, au nunua bread maker unapewa na kitabu chenye vipimo vya mkate na cake na mikate na cake vinatoka vizuri sana bila chemical za kiwandani.
 
Unga huo ni tofauti na huu wa ugali?
 
Unga huo ni tofauti na huu wa ugali?
Ndiyo nitofauti na wa ugali maana wenyewe ni mahindi machanga yanakaushwa alafu wanasaga unga laini kama wa ngano ndo maana unaweza kupikia mkate, Mimi huwa napenda kutumia REDGOLD corn flour naona upo vizuri, pia huo unga ndo wanatumia kwenye mchuzi kuwa mzito, barafu za matunda na juice kuwa nzito kama unatengeneza za kuuza.
 
Shukrani sana mkuu.
 
Back
Top Bottom