Hivi mikataba na sheria zinazohusu manunuzi ya umma hazina mianya ya ufisadi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,147
144,664
Hivi tunasubiri mpaka siku liibuke lingine kisha tuunde kamati ya uchanguzi ndio nayo ipendekeze mikataba yote inayohusu manunuzi makubwa ya umma ipite Bungeni?

Au hili limeachwa kwa makusudi tu ili kuja kutafuta kick hapo baadae kwa kuagiza lifanyike?

Au katika hili kuna ma-deal tutayavuruga iwapo mikataba na sheria zinazohusu manunu ya umma zitafanyiwa marekebisho hivi sasa?

I am just curious!

Swali la nyongeza:

Mbona sijaona hata dalili ya kuandaa mswada wa kuanzisha upya NASACO au chombo kinachofana na hicho kama kamati ya Prof.Osoro ilivyopendekeza?

Hivi kweli serikali mpaka sasa haioni umuhimu wa kuwa na Wakala wa Serikali pale Bandarini?
 
Back
Top Bottom