Hivi Michuzi ni Mtumwa wa CCM??

@ Luali shhhhhhhhhhhhhhhh wakikusikia watakung'oa meno na kucha wewe endelea na upekuzi wako yatakayokukuta usitulilie ohooo
kweli mkuu waandishi ni wakombozi wa kwanza lakini wamevaa gamba ukivua utakiona cha moto na matibabu nje ya nchi alafu wanaokuja kukuangalia wachache ukipona na ishu imepita
 
kwani lazima uperuzi blogu yake..
chagua nyingine za kujihabarisha bandugu,mbona mnakuwa walalamishi ka watoto..
AAAAAAArgh.......
 
Back
Top Bottom