Luali
Senior Member
- Jan 1, 2013
- 101
- 11
mhhh mada zingine bana, yaani unauliza swali na kujijubu hapo hapo, dah! job true true
Jibu liko wapi sasa kiongozi? :A S shade:
mhhh mada zingine bana, yaani unauliza swali na kujijubu hapo hapo, dah! job true true
@ Luali shhhhhhhhhhhhhhhh wakikusikia watakung'oa meno na kucha wewe endelea na upekuzi wako yatakayokukuta usitulilie ohooo
Ni mwandishi habari msaidizi wa Rais!
hatupo hapo,tuko paleMh! Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unacheki lakini matangangazo ktk blog ya Michuzi bwana! kapiga bao blogs zote na hata jf hatuoni ndani. Hivi ni kwa nini watangazaji wote wanakimbilia kule? Jibu ni kwamba wanafuiata blog yenye kusomwa na watu wengi zaidi ya zote. Je watangazaji Nao ni CCM? Tujiulize kabla ya kulaumu. Pia habari njema za CCM humu jf hazioni ndani. Ni kwa nini? The bottom line ni kwamba yeye amna uhuru wa kupenda anachotaka kama ambavyo jf ina uhuru wa kuchukia asichotaka. Mpo hapo wakubwa?
Wanabodi salamu, nimetafakari sana utetezi wa Salva kuhusu muandaaji wa filamu ya Lwakatare nikasoma eti afisa wa Ikulu aliyewapelekea taarifa ni Michuzi, naomba ufafanuzi,maana huyu kama ndo yupo huko, yatakiwa awe suspect namba moja kwenye utekaji, ndo mtoa taarifa za waandishi wenzake kwa kina Rama Ighondu. Kweli tumekwisha
Ndugu yangu ni wachache wanaoweza kukataa hiyo kazi kwani IKULU pesa haina mabishano na auditing si kama ya halmashauri ya wilaya.Kuna mambo ambayo tumuombe Mungu tu siku ziishe lakini ukiyatafakari unapata nausea.Wanabodi salamu, nimetafakari sana utetezi wa Salva kuhusu muandaaji wa filamu ya Lwakatare nikasoma eti afisa wa Ikulu aliyewapelekea taarifa ni Michuzi, naomba ufafanuzi,maana huyu kama ndo yupo huko, yatakiwa awe suspect namba moja kwenye utekaji, ndo mtoa taarifa za waandishi wenzake kwa kina Rama Ighondu. Kweli tumekwisha
Tumpe uhuru ile ni blog yake kama hutaki usiende kuchungulia nani kakutuma kwake kama mnapishana mtazamo?