Hivi Mheshimiwa aliwahi kutaja hadharani sababu za kumuondoa Nape?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya sababu za kufukuzwa huyu wa sasa kuwekwa hadhrani ingawa sababu zenyewe zimezua maswali mengi kuliko majibu.

Je, unadhani ni kwanini hatukuambiwa sababu za kuondolewa kwa Nape?

Kama kuzitaja si lazima, mbona za huyu wa sasa zimetajwa na magazeti yameandika?

Kama magazeti yamepotosha, ni gazeti gani limepewa onyo, kuchuliwa hatua au kutakiwa kukanusha na kisha kuomba radhi?

Ngoja niishie hapa nikatafute Panadol maana kichwa kinauma.Nitarudi nikipata nafuu.
 
Nape alitaka kuwaumbua hadharani ,na ingejulikana kumbe kikundi cha utekaji kinatoka wapi, hivo ili kuweka mambo sawa ,hatukuambiwa sababu ya msingi ya kumuondoa, ila wenye Akili wanajua ,ni sababu Nape alitaka kuweka hadhrani uozo wa Daud bashite na baba yake,.
 
Nimeelewa na ndio maana nimemjibu,

Ww ulitaka nijibu vip? Au ulitarajia Jiwe atoke hadharan aseme Nimemfukuza Napelanga moses Nauye kwakuwa anataka kumuabisha mwanangu kipenz Bashite? Ndio maana alikaa kimya ,ila Great thinker tunajua kilichomuondoa Napelanga
Unajuwa, hapa duniani, kama mtu hajaelewa kitu, jinsi anavyozidi kukielezea, ndivyo anavyozidi kujionyesha kwa kiasi gani hajaelewa...
 
Wewe ndio hujaelewa chochote ,upo hapa kuvuruga mada maana tunajua mmemwagwa mitandaon ili.muwe mnavuruga mada zinazomuumbua mungu wenu Jiwe ,maana ananuka damu ,
 
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya sababu za kufukuzwa huyu wa sasa kuwekwa hadhrani ingawa sababu zenyewe zimezua maswali mengi kuliko majibu.

Je, unadhani ni kwanini hatukuambiwa sababu za kuondolewa kwa Nape?

Kama kuzitaja si lazima, mbona za huyu wa sasa zimetajwa na magazeti yameandika?

Kama magazeti yamepotosha, ni gazeti gani limepewa onyo, kuchuliwa hatua au kutakiwa kukanusha na kisha kuomba radhi?

Ngoja niishie hapa nikatafute panadol maana kichwa kinauma.Nitarudi nikipata nafuu

Nape ni ..., na alipata kazi kwa sababu ya ukaribu wake na Raisi mstaafu Kikwete tu na siyo kwa merit, Nape hakuna kitu anajua na wala hastahili heshima yoyote ile Dunia hii, angalau Mwigulu amefika ahapo alipofika kwa juhudi zake mwenyewe na siyo kuhurumiwa na kubebwa, anastahili heshima lkn siyo Nape!
 
Hujui usemalo..... Tafuta comment zangu zote humu halafu ulinganishe na usemacho kama vinafanana
 
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya sababu za kufukuzwa huyu wa sasa kuwekwa hadhrani ingawa sababu zenyewe zimezua maswali mengi kuliko majibu.

Je, unadhani ni kwanini hatukuambiwa sababu za kuondolewa kwa Nape?

Kama kuzitaja si lazima, mbona za huyu wa sasa zimetajwa na magazeti yameandika?

Kama magazeti yamepotosha, ni gazeti gani limepewa onyo, kuchuliwa hatua au kutakiwa kukanusha na kisha kuomba radhi?

Ngoja niishie hapa nikatafute panadol maana kichwa kinauma.Nitarudi nikipata nafuu

mkuu bado tu uko na magufuli, hauchoki??
 
Neppy alikuwa mhishima wa habari na instagram na Twitter...tofauti na mwenzie ambaye alikuwa ni mhishimiwa wa bunduki,magari ya deraya,marisasi na vikosi...

So hapo unaona nani mwenye athari kati yao na ndiyo maana wastaafu waneitwa kupewa 'briefing' na hata mabadiliko kadhaa ya maofisa yanefanywa..

na hata Mkulu Kulu ametumia hotuba nzima 'kujieleza' hajawa impressed na Che Guevara na siyo kwamba ana tatizo na wizara yote ya mamwela...

Kuonyesha msisitizo yule mamito wa usajili karudishwa job...kuonyesha kwamba tuko on the 'light' track..

Na wanamapinduzi wana chembechembe za usaliti...hivyo che Guevara alipaswa 'atawanywe' kisawasawa
 
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya sababu za kufukuzwa huyu wa sasa kuwekwa hadhrani ingawa sababu zenyewe zimezua maswali mengi kuliko majibu.

Je, unadhani ni kwanini hatukuambiwa sababu za kuondolewa kwa Nape?

Kama kuzitaja si lazima, mbona za huyu wa sasa zimetajwa na magazeti yameandika?

Kama magazeti yamepotosha, ni gazeti gani limepewa onyo, kuchuliwa hatua au kutakiwa kukanusha na kisha kuomba radhi?

Ngoja niishie hapa nikatafute panadol maana kichwa kinauma.Nitarudi nikipata nafuu
mkuu, usitumie Panadol. tumia Dayadol !
 
Nape ni ..., na alipata kazi kwa sababu ya ukaribu wake na Raisi mstaafu Kikwete tu na siyo kwa merit, Nape hakuna kitu anajua na wala hastahili heshima yoyote ile Dunia hii, angalau Mwigulu amefika ahapo alipofika kwa juhudi zake mwenyewe na siyo kuhurumiwa na kubebwa, anastahili heshima lkn siyo Nape!
Teh Teh Hivi kwenye ccm Mwigulu na Nape nani alianza ? Mwigulu wa juzi tu, Unakumbuka uvccm ile ya Nape
 
Back
Top Bottom