Hivi Mh.Philip Marmo hajui au.....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Mh.Philip Marmo hajui au.....?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchajikobe, Sep 29, 2009.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana JF,nimejiuliza maswali mengi sana kuhusiana na kauli ya mh.Philip Marmo juu ya kuvuja kwa nyeti(siri za serikali),suluhu la swala hili muheshimiwa ameona kuwa nyaraka zote za serikali ziwe zina chapishwa kwa mpiga chapa wa serikali,swali ni kwamba hapo awali zilikuwa zinachapishwa wapi?Hivi ni kweli zikichapishwa huko ndio hazitavuja?Kwani Mheshimiwa hajui kuwa wanaovujisha hizo siri ni hao hao watendaji wao wa serikali?Mi ninachoona hapa ni kwamba hao watendaji wao wameshachoka kuficha magonjwa sasa kifo ndio kitawaumbua,they have no other ways to hide their shits!!!
   
Loading...