Hivi mfumo wa kulipia road licence kwa simu haufanyi kazi?

Nyikanavome

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
484
178
Tokea jana kuna gari nataka nilipie road licence, lakini kila nikitaka kuisajili kwa ajili ya kulipia sipati majibu yeyote.

Nimetuma message kadhaa lakini kimya kwa mujibu wa TRA nikuwa unatakiwa utume neno SAJILI unaacha nafasi na kuandika namba ya gari na kutuma kwenda 15341.
 
nahisi kuna tatizo hata mimi nilijaribu ili nifahamu nadaiwa kiasi gani, sikupata jibu.
 
Inabidi warekebishe haraka, kwani ikipita kama wiki mbili hivi hujalipa unapigwa penalty wakati hela unazo kwenye simu lakini unashindwa kulipa

nahisi kuna tatizo hata mimi nilijaribu ili nifahamu nadaiwa kiasi gani, sikupata jibu.
 
Back
Top Bottom