Hivi mechi ya Biashara ilikuwa ichezwe nchi gani?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,219
12,929
Leo baada ya kuona taarifa ya Waiziri Mkuu wa Sudan kuwekwa chini ya Ulinzi nimejikuta na maswali juu ya Biashara United kushindwa kusafiri .

Hoja zao wanadai tangia tarehe 16 walishakata tickeck kwenye shirika fulani la ndege lakini baadae lile shirika lilitoa taarifa kuwa hawataweza kwenda kutoka a na issue za kiusalama, baadae waliamua wakodi ndege ya Air Tanzania lakini mpaka wanafika siku ya mechi ATCL hawakuwa wamepata kibali cha cha kupita anga la Sudan na Sudan Kusini!

Je! Kukosekana na kukosa kibali kwa ATCL hakuhusiani na issue ya leo ya jeshi kupindua Serikali?
 
Back
Top Bottom