Hivi mechanical engineering ndo ikoje msaada jamani

Syston

JF-Expert Member
Nov 6, 2017
244
500
Kuwa Mechanical Engineer ni kama kuwa Rais wa nchi, hizo kozi zingine ni kama wizara tu. Ukisoma hiyo dunia ni yako maana una uwanja mpana wa kufanya chochote.
 

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,430
2,000
Mkuu sikushauri ukasomee kozi yoyote ya science(note Uhandisi na afya) UDSM sababu wame base sana kwenye theory na hawana vifaa vya kutosha so utatoka umemeza theory tu na prac zer0 labda kama unataka kuwa mwalimu mzuri wa course yako
We fala hakuna chuo tz zaid ya udsm.na hiyo koz udsm ndo jikon.baada ya kutemwa udsm unaleta taarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom